Tanzania yazidi kuporomoka viwango vya nchi zenye furaha duniani, yashika nafasi ya 82 toka nafasi ya 80 mwaka 2018

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Screenshot_20190820-075638.png

The five largest deteriorations in levels of peace in the Global Peace Index:

1 Nicaragua
2 Burkina Faso
3 Zimbabwe
4 Iran
5 Brazil

163 countries: visionofhumanity.org/indexes

Nakumbuka ule uzi wa jamaa mmoja aliyesema watu wengi wana nyuso za huzuni jijini Dar es salaam ,
Itakua Tz nzima sasa
 
wavivu wa kufanya kazi nyie ndiyo hamna furaha mbona mimi sioni tofauti nina raha zotee hakuna kilichobadirika maana kama mshahara ni uleule kilakitu ni kilekile wapigaji ndiyo mnatushushia takwimu ya furaha hebu chekeni tu hata kama mnaumia
 
Hii nchi wenye furaha ni ccm wahamiaji tu! maana hata wale asili nao kwa sasa wanalialia tu.
 
View attachment 1185800
The five largest deteriorations in levels of peace in the Global Peace Index:

1 Nicaragua
2 Burkina Faso
3 Zimbabwe
4 Iran
5 Brazil

163 countries: visionofhumanity.org/indexes

This rugged hell hole is a mess!
 
Yaani nchi watu ukiwaangalia ni kama wako msibani siku zote. Halafu Luna watu hawataki kuelewa, sijui wanaumwa nini!
 
wavivu wa kufanya kazi nyie ndiyo hamna furaha mbona mimi sioni tofauti nina raha zotee hakuna kilichobadirika maana kama mshahara ni uleule kilakitu ni kilekile wapigaji ndiyo mnatushushia takwimu ya furaha hebu chekeni tu hata kama mnaumia
Senior Zwazwa
 
Waswahili tuna msemo unasema " pesa ni sabuni ya roho"
Sikuzote pesa na furaha zinaendana pamoja
 
Hii nchi wenye furaha ni ccm wahamiaji tu! maana hata wale asili nao kwa sasa wanalialia tu.
Mnastahili kutokuwa na furaha. Nchi gani watu wake wakubwa kwa wadogo wanawekeza muda/hisia zote kwenye siasa!. Tena siasa zenyewe huna uwezo wa kuzi-control, wanao control ni wengine. Hapo furaha utaisikia kwenye bomba tu . Mtu unaamka asubui, hata mswaki hujauona unatafuta Magu kasema nini ili ukamjibu JF, si stress hiyo! Furaha jipe mwenyewe.
Ni heri kuwaza Ufalme wa Mungu, utaiona furaha.
 
Aisee!!hizo data zinaukweli maana hata mimi kwangu changu cha furaha kimeshuka sana ukifanisha na enzi ya mkwele
 
Tz yangu jamaaani!
Nakumbuka zamani uliitwa kisiwa cha amani! Sasa ni kama tuko Pakistan.
 
Malaya wewe!!
wavivu wa kufanya kazi nyie ndiyo hamna furaha mbona mimi sioni tofauti nina raha zotee hakuna kilichobadirika maana kama mshahara ni uleule kilakitu ni kilekile wapigaji ndiyo mnatushushia takwimu ya furaha hebu chekeni tu hata kama mnaumia
 
Hatupimiwi furaha yetu na wazungu!. Aidha hatuhitaji furaha wakati huu ambao tumejifunga mikanda kuijenga nchi yetu. Aluta Continua Magufuli!
 
Back
Top Bottom