kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
Habari wana GT.. Leo Ktk jiji la Washington Marekani, kunafanyika uzinduzi wa Filamu iitwayo The Boy from Geita.
Inazungumzia mauaji na vitendo vya ukatwaji viungo vya Albino,
Serikali imeshaanza kulalamika juu ya filam hiyo, Kwani inaonyesha Ni kwa jinsi gani Serikali haiko seriously ktk kudhibiti vitendo na Unyama huo...
Chanzo DW..

Ilitakiwa Serikali iwapongeze waandaaji wa filamu hiyo.Habari wana GT.. Leo Ktk jiji la Washington Marekani, kunafanyika uzinduzi wa Filamu iitwayo The Boy from Geita.
Inazungumzia mauaji na vitendo vya ukatwaji viungo vya Albino,
Serikali imeshaanza kulalamika juu ya filam hiyo, Kwani inaonyesha Ni kwa jinsi gani Serikali haiko seriously ktk kudhibiti vitendo na Unyama huo...
Chanzo DW..
hivi kuna mgombea yeyote amewahi kuongelea kukomesha tatizo hilo
Viungo vya Albino ni mtaji wa CCM.