Hilo gazeti la mwananchi linatumika na wapinzani kupika data za kupotosha umma
Serkali ilimulike
Ajabu sana kama utakuwa umesoma maneno niloweka humo ndaniNi kweli kabisa, afadhali mkuu nawe umeliona hilo. Nimewahi kulisema humu nikashambuliwa hadi nikataka kukimbia jukwaa!
Inahitaji kukaza macho kidogo kuona kilichopo ndaniKutamka maneno uliyoandika ni sawa na kunena kwa lugha
this is njhfjd hciiuewhyiuf gu
kjhiwhfife ajabu sana jhikufebjdhiewg regrr
unakuavipi fhhrfrkji ha kji nbkjh li jhktr jdkfe maisha jhckhkdiewhib mahardjh nkjidjnkjnhjh ya mnkjlkwenvjnbkjhfw mmtanzania kcjihydjbjc.
lmwkjoqdn kjhiuyiubj cjbuiuyb nyie mnkujsaihc jh bjhh ujing a nbjhguugjbjhgj mnkj
,klkjj nkjh kjhk hivi jbkuhbnbjnb\
ppiiteeeniiiihdshsbcgjcgsjhgiu
ulitegemea mini ikiwa Magufuli tangu aingie madarakani kazi ni kuteuwa na kutenguwa. na kukopa kwaajiri ya ndege na viwaja vyake huku shirika la ndege likiwa linaendeshwa kwa hasara.
Tukuamini wewe au tumuani raisi. Maana raisi anasema hiyo miradi mikubwa inajengwa kwa fedha za ndani. Raradox!
Inahitaji umakini sana kusoma kilichopo hapo ndani.Safi mkuu kwa hapo naona umekazia kisawasawa,bila hivyo utamaduni wa Mwafrika unakua hatarini sana na pia ni vizuri kuendeleza siku ya mtoto wa Africa.
Mtu au chombo cha habari kikiandika habari ya kuwasifia HAKITUMIKI ila kikiandika udhaifu au habari msiyoipenda KINATUMIKA. Ukiwa hupendi kukosolewa, piga marufuku kusifiwa piaHilo gazeti la mwananchi linatumika na wapinzani kupika data za kupotosha umma
Serkali ilimulike
Ukweli una miujiza yake.Raisi wetu sio mtu wakuaminika sana, alisema kila kijiji atakipa 50m paka sasa bado labda mwakani ndoatatekeleza ahadi yake
Yakuambiwa ongeza na ya kwako.
haya endelea kumwamini huyo rais wako na data zake za uwongo wakati miradi tumekopeshwa midola kibaoTukuamini wewe au tumuani raisi. Maana raisi anasema hiyo miradi mikubwa inajengwa kwa fedha za ndani. Raradox!
Naona hukunielewa.haya endelea kumwamini huyo rais wako na data zake za uwongo wakati miradi tumekopeshwa midola kibao
Huwezi kupose threat kwake sababu ya uhuru maoni yake, ninyi ndio mnatakiwa kushughulikiwa kwa kuingilia haki za wengine kwa kuwa vyanzo kuwajengea hofu watzWe jamaa acha uongo...utafungwa...kenya ndo inaongoza kwa madeni East Africa...Deni la Tanzania ni imilivu.
Acha kuropoka utakuja kuicost familia yako
Shida no kwamba tunakopa kila kukicha bila kuwa na mipango sahihi
KukopaNasikiaga huko TZ mnae pesa ingi pamoja na rasilimali kede kede hizo madebt zinatokana na Nini???