Tanzania yatajwa katika nchi yenye madeni makubwa huku ukuaji wa DGP takwimu zake hazifanani na uhalisia (kupikwa) tuna hatari ya kwenda Zimbabwe

Tukuamini wewe au tumuani raisi. Maana raisi anasema hiyo miradi mikubwa inajengwa kwa fedha za ndani. Raradox!
Raisi wetu sio mtu wakuaminika sana, alisema kila kijiji atakipa 50m paka sasa bado labda mwakani ndoatatekeleza ahadi yake
 
Wewe ungetegemea hizo project kubwa zingetuacha bila kua highly indebted nation na returns za hiyo miradi sio leo au kesho.....tuliingia kwenye 'debt trap' bila kujua mnatafuta sifa za kisiasa tu wakati muko economically novice.....
Mkuu umetumia misamiati migumu sana kwa sisi wazalendo kuelewa.
 
this is njhfjd hciiuewhyiuf gu
kjhiwhfife ajabu sana jhikufebjdhiewg regrr
unakuavipi fhhrfrkji ha kji nbkjh li jhktr jdkfe maisha jhckhkdiewhib mahardjh nkjidjnkjnhjh ya mnkjlkwenvjnbkjhfw mmtanzania kcjihydjbjc.
lmwkjoqdn kjhiuyiubj cjbuiuyb nyie mnkujsaihc jh bjhh ujing a nbjhguugjbjhgj mnkj
,klkjj nkjh kjhk hivi jbkuhbnbjnb\
ppiiteeeniiiihdshsbcgjcgsjhgiu
Kutamka maneno uliyoandika ni sawa na kunena kwa lugha
 
Hili gazeti lina harufu ya ukikabendera lichunguzwe

Whi are they to stand as a mouth of our mother economy?
 
Nakumbuka kwamba ili uendelee unahitaji SIASA SAFI...UONGOZI BORA

Kwa mwendo huu ni sawa na kutembea hatua tano mbele kisha 10 nyuma.
 
this is njhfjd hciiuewhyiuf gu
kjhiwhfife ajabu sana jhikufebjdhiewg regrr
unakuavipi fhhrfrkji ha kji nbkjh li jhktr jdkfe maisha jhckhkdiewhib mahardjh nkjidjnkjnhjh ya mnkjlkwenvjnbkjhfw mmtanzania kcjihydjbjc.
lmwkjoqdn kjhiuyiubj cjbuiuyb nyie mnkujsaihc jh bjhh ujing a nbjhguugjbjhgj mnkj
,klkjj nkjh kjhk hivi jbkuhbnbjnb\
ppiiteeeniiiihdshsbcgjcgsjhgiu
Ni kweli kabisa, afadhali mkuu nawe umeliona hilo. Nimewahi kulisema humu nikashambuliwa hadi nikataka kukimbia jukwaa!
 
Tunakoelekea sio Zimbabwe tena bali ni jehanam, hadi wataalamu wanakubali kutengeneza data za uongo ili kumfurahisha jiwe! Eti tuko kwenye rait traki.
ulimbukeni ni tatizo sana.
 
Mambo ya familia yake yanakujaje? Acha ujinga we we. Pumbavu
Ngoja arudi, ndio wale wa "unanijua mimi nani?"
Nilidhani katika kizazi hiki amebaki "Special Agent undercover" Ole Sabaya wa Hai kumbe bado wapo na mikwala mbuzi yao!
 
Hilo gazeti la mwananchi linatumika na wapinzani kupika data za kupotosha umma

Serkali ilimulike

Hilo gazeti ni kama limechelewa kutoa hiyo taarifa lakini huo ndio ukweli. Hilo gazeti linaweza kumulikwa na hata kufungiwa, lakini walichoripoti ni ukweli kwa 100%.
 
Watulipe wastaafu aisee,ndio waje wafilisike.

nssf wastaafu wanataka mpunga wao,lipeni pesa zetu.
 
Hilo gazeti la mwananchi linatumika na wapinzani kupika data za kupotosha umma

Serkali ilimulike
Acha uzuzu Mkuu kwanini mnapenda kutetea hata mambo ya kijinga?soma vizuri hapo kuna gazeti la mwananchi?
 
Nyie Vijana mkiitwa wajinga mnakataa?

Hujui km hiyo ni kampuni ya mwananchi?

Au lugha imekuogopesha
Acha uzuzu Mkuu kwanini mnapenda kutetea hata mambo ya kijinga?soma vizuri hapo kuna gazeti la mwananchi?
 
Back
Top Bottom