cardiologue
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 351
- 90
Acha mawazo mgando hayo, unajua ni kwa kiasi gani sekta ya utalii imeathirika baada ya wao kuzuia magari ya bongo kufika airport zao?? Mdogo mdogo tutaheshimiana tuHii ni kututesa wanaosafiri mara kwa mara. Wanawazuia kwa faida ya nani? Hapa sana sana watawanufaisha ndege za Waarabu tu. KQ ni moja ya Shirika linalowasaidia watanzania kufika nchi za nje (Ulaya, Marekani na Asia) sisi hatuna ndege alafu tunawazuia kumnufaisha nani?