Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, Tuzo ya UN ya mshindi wa pili ya Tanzania katika kutoa huduma bora kwa Jamii (Mkurabita) , wakati Makamu alipofika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Juni 23, 2011 kufunga maadhimisho ya siku ya Utumishi ya Umoja wa Mataifa na Afrika, ikiwa ni mara ya kwanza kwa hafla hiyo kuadhimishwa Barani Afrika na kufanyika nchini Tanzania.
Mtazamo:Hivi wanatumia vigezo ukichukulia hali halisi ndio hii hapa chini?
umeuaa,ndio maana hawaipendi JFMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, Tuzo ya UN ya mshindi wa pili ya Tanzania katika kutoa huduma bora kwa Jamii (Mkurabita) , wakati Makamu alipofika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Juni 23, 2011 kufunga maadhimisho ya siku ya Utumishi ya Umoja wa Mataifa na Afrika, ikiwa ni mara ya kwanza kwa hafla hiyo kuadhimishwa Barani Afrika na kufanyika nchini Tanzania.Mtazamo:Hivi wanatumia vigezo gani ukichukulia hali halisi ndio hii hapa chini?
hadi moshi bar kule....OMG....7 years ago hii sehemu niliiacha palikuwa hivyo hivyo..OMG...wat next?Barabara ya Ukonga Mombasa jijini Dar es Saalam.Mikoani hali ndiyo mbaya zaidi.
Tanzania ilipata tuzo kwenye mambo ya elimu mwaka jana at around the same time matokeo ya kidato cha IV yakionesha kuwa 80% wa watahiniwa walifeli! Rais Kikwete alionekana kwenye vyombo vya habari akinyanyua juu tuzo huku akijuwa fika watoto zaidi ya laki moja na nusu wako mtaani baada ya kufeli.
Sasa, miezi michache baadae Tanzania, tena inapata tuzo ya utata! maternal health ni mgogoro mtupu, upitakani wa maji safi na salama ni kitendawili, huku uhusiano wa raia na vyombo vya usalama (hususan police) ukiwa dhaifu kuliko kipindi chochote. Hiyo tuzi imepatikanaje?
Jibu ni Dr Asha Rose Migiro. Kuna mpango kabambe unaoendelea kati ya huyu mwanamama na wakubwa wa magogoni.Atajidai anatangaza mafanikio ya Tanzania lakini ukweli uko wazi (a) anarudisha fadhila na (b) 2015. Na Ban Ki-moon baada ya kupigiwa upatu na Tanzania amekuwa a man of his word - daima anawakumbuka wale wote waliofanikisha safari yake kwenye kiti cha enzi lakini je anajuwa jina la huu upatu aliojiunga nao?