Timu ya taifa Tanzania imepanda viwango vya FIFA kwa nafasi 9 hvyo kuwa ya 113 duniani,ya 27 Africa na ya 6 kwa ukanda wa Afrika mashariki na kati.
hivi huu ukanda si una nchi 6 au ziko ngapi naona kama hatuko mwisho basi tuko karibu na mwisho!.. ya 6 kwa ukanda wa Afrika mashariki na kati.
Too low brother
umeona ehh