Tanzania yaongoza kwa watoto wenye udumavu

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,701
71,035
Hayo yamebainishwa na mkurugenzi Mtendaji wa jukwaa la lishe tanzania (panita), Tumaini Mikindo.

Amesema zaidi ya asilimia 42 ya watoto wamedumaa, na tatizo hilo lina athari kubwa kwenye maendeleo na makuzi ya watoto na pia huchangia kupungua kwa uwezo wa kuelewa na kuchanganua mambo mbalimbali.
Chanzo: Tanzania daima ya leo
Maoni yangu: baadhi ya hawa watoto huja kuwa viongozi mbalimbali kwenye maeneo mbalimbali kama vile ZEC, urais na kadhalika, hapo unategemea maamuzi gani?
 
Ndio maana yule waziri hata kirefu cha TFF hajui

Kuna yule mwengine alikua waziri akatuambia eti zanzibar ni muunganiko wa zimbabwe na nini vile

Ndio maana sijui kwa nini watanzania ni masikini
 
Kuna yule wa bunda wanapiga kura wake wanamuuliza ahadi ya maji aliyowaambia akajibu.... "Mnasema maji hamna!!! Dawa mnamezea nini? ":D:D
 
Back
Top Bottom