Nchi ya tanzania inaongoza duniani kwa kuwa na makato mengi ya uwanjani,hii imesababisha kutopatikana na mapato ya kutosha kwa timu zetu na kusababisha kuendelea kuwa masikini,haya yalithibitishwa na aliekuwa mwenyekiti wa simba aliemaliza mda wake alipoongea na kituo cha chanel ten