Mtiwe doa mara ngapi? Serikali yenyewe doa tayari!Ni jambo zuri kwa serikali kukanusa tuhuma hizo sababu zinatutia doa na majirani zetu
Kuna hata siku moja serikali ya Tz imeshawahi kuacha kukanusha?!!! Ndio kawaida yao leo nimemsikia msemaji wa serikali mwambene anahojiwa na bbc ni kujikanyaga tu, anahojiwa kuwa mbona UN wanaushahidi kuwa kiongozi wa FDR ikuja Tz, yeye anasema hawana taarifa hiyo, Mi nina uhakika hawa watu wanapokomalia kitu jua wanamanisha. Ni suala la muda tu. Mangapi yamekanushwa ila baadaye yakaja kudhihirika ni ukweli, scandal ya radar, ndege ya rais, meno ya tembo na escrow.
Mtiwe doa mara ngapi? Serikali yenyewe doa tayari!
Kama wanaweza wakasema wana ushahidi, kwa nini wasiuweke ili tuuone badala ya kusikia maneno yao pekee.
By the way, hizi habari zinakuwa recycled kila baada ya muda ili kuipa pressure Tanzania ili ipambane na FDRL kama ishara ya kuonyesha haikisaidii kikundi hicho. Rwanda hawawezi kupambana na FDRL bila ridhaa ya Tanzania.
Tofauti ya Tanzania na Rwanda ni kuwa, Kagame amewekesha kwenye makampuni makubwa ya PR ili yamsaidie katika mission zake za ndani na nje ya nchi wakati Tanzania hata magazeti ya ndani yanapambana na serikali ya Tanzania. Kwa mtaji huo ndiyo maana Rwanda wanaweza hata kupenyeza habari zao kwenye media mbali mbali za kimataifa katika mlengo wa kutetea maslahi yao.
Ni pesa zako tu .Chombo chochote cha habari duniani chaweza tumika kwa PR.Mfano Gazeti la the EAST AFRICAN lina sehemu inayohusu Rwanda tu ile sehemu ni maalumu kwa ajili ya PR ya Kagame na mara nyingi hulipiwa pesa nyingi.Kwa hiyo BBC na Reuters wanaweza kutumika na PR team ya Kagame ?
Ndio tatizo la wa Tz, kwani unapokuwa msemaji wa serikali habari unapewa idara ya habari maelezo?!! Yeye anapojibu kuwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama havina ushahidi kuwa huyu kiongozi wa Fdr, alishawahi kutembelea Tz, Amezitoa wapi? Msichanganye habari ndio kawaida yetu mtu akitunyooshea kidole badala ya kutafakarj tunaanza kutafuta mchawi, sasa hawa watangazaji wa bbc wanaingi aje hapa? Wao ndio wameandaa hiyo report? HAbari ikiandikwa na vyombo vya habari vya kimataifa ndio serikali inakuja juu. BBC wakiwasifia kuwa jk ndiye rais bora afrika mnakubali kuwa ni sawa ila wakiwakosoa tu wanatumika!!!Mwambene kajibu sawa kwani hata kama alikuja aliripoti ukumbi wa habari maelezo? Mwambene wanamtafuta kwa sababu ya kulipiga biti gazeti la the east african lillokuwa chombo cha propaganda cha Rwanda kutukana Tanzania.Sasa hivi wanahonga BBC walete taarifa za siku nyingi .BBC huwa wanakuwa very current habari zao hii ni ya siku nyingi.Naona BBC hawajajifunza kilichowapata Rwanda wakafungiwa.
Mtandao wa wanyarwanda ulioko BBC wa akina Eric David Nampesya utaiponza BBC.
sasa hawa watangazaji wa bbc wanaingi aje hapa? Wao ndio wameandaa hiyo report?
nilidhani nampesya ni jina kibongo!!basi tunao wanyarwanda wengi sana wanaojifanya watanzania...mkuu time will tell,serikali hii ukiitetea sana utakuja kuumbuka in the end.,save the best for last.Wanahusika sana kwenye mtandao wa kuchafua Tanzania.Rwanda akiwa mjumbe wa baraza la usalama la umoja wa mataifa anaitumia nafasi yake vibaya kwa hiyo kupenyeza uwongo wake kwa wajumbe wengine wa baraza hilo.Kisha umbeya huo unachapishwa kama taarifa ya UN.Halafui hiyo taarifa inachukuliwa na mtandao wa Wanyarwanda walioko vyombo vya habari kama mnyarwanda Erick David NAMPESYA wa BBC na kusambazwa kwenye vyombo vya habari wanavyofanyia kazi kama BBC n.k
Wanahusika sana kwenye mtandao wa kuchafua Tanzania.Rwanda akiwa mjumbe wa baraza la usalama la umoja wa mataifa anaitumia nafasi yake vibaya kwa hiyo kupenyeza uwongo wake kwa wajumbe wengine wa baraza hilo.Kisha umbeya huo unachapishwa kama taarifa ya UN.Halafui hiyo taarifa inachukuliwa na mtandao wa Wanyarwanda walioko vyombo vya habari kama mnyarwanda Erick David NAMPESYA wa BBC na kusambazwa kwenye vyombo vya habari wanavyofanyia kazi kama BBC n.k
Hata mie nimeishangaa BBC imeanza kutumiwa kama toilet paper. Hii habari tulishaijadili sana hapa JF, na tukahoji kama iwapo kuna mtu FDLR yuko Dar na anatuma pesa kwa mtu aliyepo Kampala ili azipeleke DRC, ni kwanini report inaituhumu TZ pekee na si Uganda pia? Na kuonesha kwamba report inaandikwa purposely inaweka transfer ya hela ndogo kuliko hata mshahara wangu kutoka Dar kwenda kampala kama ushahidi wa TZ kuwasaidia FDLR, hii ni dharau. Mbona report hailalamiki kuwa TZ ina wahamiaji haramu kutoka nchi kibao na hawashughulikiwi? au UN inasupport uhamiaji haramu! Hawa BBC wanakuja na report outdated na kuireport kama vile ni mpya.Mwambene kajibu sawa kwani hata kama alikuja aliripoti ukumbi wa habari maelezo? Mwambene wanamtafuta kwa sababu ya kulipiga biti gazeti la the east african lillokuwa chombo cha propaganda cha Rwanda kutukana Tanzania.Sasa hivi wanahonga BBC walete taarifa za siku nyingi .BBC huwa wanakuwa very current habari zao hii ni ya siku nyingi.Naona BBC hawajajifunza kilichowapata Rwanda wakafungiwa.
Mtandao wa wanyarwanda ulioko BBC wa akina Eric David Nampesya utaiponza BBC.
Ni pesa zako tu .Chombo chochote cha habari duniani chaweza tumika kwa PR.Mfano Gazeti la the EAST AFRICAN lina sehemu inayohusu Rwanda tu ile sehemu ni maalumu kwa ajili ya PR ya Kagame na mara nyingi hulipiwa pesa nyingi.
Hilo la reuters na bbc sidhani kama ni rahisi vyombo hivyo kama taasisi kutumiwa kirahisi na Kagame sababu BBC IMEFUNGIWA rwanda.Anachoweza kuwa anafanya ni kuhonga au ku-influence waandishi wenye asili ya Rwanda wafanye PR kwa niaba yake au kwa kupitia marafiki zao au watu wa karibu walio katika vyombo hivyo kwa kutoa makala mbali mbali ambazo wahariri wa Reuters au BBC wanakuwa wako vipofu wanadhani ni makala za kawaida kumbe wanaifanyia PR rwanda free of charge na kuidhalilisha tanzania kupitia Rwanda ambako BBC walikofungiwa.
Ushauri wangu wa bure kwa REUTERS na BBC ni kuwa wawe na tahadhari katika kuifanyia kazi Rwanda againist Tanzania hasa kupitia waandishi wao.Wafanye screening ya waandishi wao na kama wako BBC kwa maslahi ya BBC au ya RWANDA.Wapitie makala zao zote waone kama wanafaa kuendelea kufanya kazi BBC au waende wakaanzishe kampuni zao za PR kwa ajili ya kagame.