Tanzania yaiomba Kenya kumrudisha Bashir Awale nchini kuja kushitakiwa!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Mkenya Bashir Awale ambaye alikuwa ni muajiriwa wa Stanbic anayeshutumiwa pamoja na Kitilya, Shoshe Sinare na Sioi Sumari kuiba fedha zetu anatakiwa kurudishwa nchini kutoka kwao Kenya kuja kujibu mashitaka. Tayari Mwanasheria Mkuu wetu ameshamuandikia Mwanasheria Mkuu wa Kenya kulifanikisha hilo!

Bashir Awale alifukuzwa nchini kwetu na Serikali yetu baada ya kujihusisha na Siasa kinyume na Sheria zetu.

awale.jpg

========

Tanzania has asked Kenya to extradite former Stanbic CEO Bashir Awale to face charges in the Sh600 million government bond bribery scandal, it has emerged.

Attorney-General George Masaju has reportedly sought help from his Kenyan counterpart, Prof Githu Muigai, to bring back Mr Awale for questioning over the bribery scandal that rocked the final years of President Jakaya Kikwete’s government..

If extradited, Mr Awale will likely be enjoined in the case that has since seen former Tanzania Revenue Authority (TRA) boss Harry Kitilya and two other prominent individuals charged and remanded since April, 2016.

Mr Kitilya and former Miss Tanzania Shoshe Sinare and Mr Sioi Sumari, a former official of the bank, are languishing in jail awaiting hearing of their application for bail.

The three were charged with seven counts among them money laundering, forgery, abuse of office, corruption, obtaining advantage and transfer of proceeds and are in remand.

Kenyan media reported that President John Magufuli’s government wants Mr Awale to answer questions over the transaction of the deal in which he played a key role.

An investigation in the UK by the Serious Fraud Office revealed how Mr Awale, Mr Kitilya and Ms Sinare were key players in pushing the deal through leading to a $6 million (Sh600 million) bribery scam.

Source: alleastafrica
 
Hatarudishwa kamwe,labda sio UHURUTO ninaowajua na figisu waliyokuwa nayo na Tanzania mpaka wakaamua kuunda Coalition of the willing,

Hii ngoma inaenda kwenye mizizi ya siasa za bongo

Labda raila odinga.....itachukua miaka mia,na huyo msomali mkenya waweza kuta yuko bize na Jubilee Alliance waingie madarakani na sio NASA
 
Unajua huyo Awale ndugu zake wapo ngazi za juu kwenye serikali ya Uhuru

Uhuru alivyokuwa msela ,vigumu sana
Ndio maana nawaambia ni ngumu sana na haitawezekana huyo jamaa kuletwa bongo.

Tena ishu yenyewe ya kisiasa kisa tu msomali alikuwa karibu na watu wa kambi ya EL

Tena aletwe kwa rafiki wa Raila Odinga

Uhuru na Ruto wako very bright though very simple,akili zao zina nishati ya mtambo wa nyuklia
 
Uhuru Kenyata kwa sasa anatuhitaji klk tunavyomuhutaji, ana Uchaguzi Raila Odinga kadhamiria kukinukisha hivyo itambidi achague!
 
Ndio maana nawaambia ni ngumu sana na haitawezekana huyo jamaa kuletwa bongo.

Tena ishu yenyewe ya kisiasa kisa tu msomali alikuwa karibu na watu wa kambi ya EL

Tena aletwe kwa rafiki wa Raila Odinga

Uhuru na Ruto wako very bright though very simple,akili zao zina nishati ya mtambo wa nyuklia

Waziri wa Afya wa Uhuru Kenya alifwata nini kwa Raisi wetu?
 
Mkenya Bashir Awale ambaye alikuwa ni muajiriwa wa Stanbic anayeshutumiwa pamoja na Kitilya, Shoshe Sinare na Sioi Sumari kuiba fedha zetu anatakiwa kurudishwa nchini kutoka kwao Kenya kuja kujibu mashitaka. Tayari Mwanasheria Mkuu wetu ameshamuandikia Mwanasheria Mkuu wa Kenya kulifanikisha hilo!

Bashir Awale alifukuzwa nchini kwetu na Serikali yetu baada ya kujihusisha na Siasa kinyume na Sheria zetu.

Bashir Awale akisalimiana na Lowasa wakati wa Kampeni za Uchaguzi 2015!
CIqNkBzUAAAdKQo.jpg

awale.jpg

========

Tanzania has asked Kenya to extradite former Stanbic CEO Bashir Awale to face charges in the Sh600 million government bond bribery scandal, it has emerged.

Attorney-General George Masaju has reportedly sought help from his Kenyan counterpart, Prof Githu Muigai, to bring back Mr Awale for questioning over the bribery scandal that rocked the final years of President Jakaya Kikwete’s government..

If extradited, Mr Awale will likely be enjoined in the case that has since seen former Tanzania Revenue Authority (TRA) boss Harry Kitilya and two other prominent individuals charged and remanded since April, 2016.

Mr Kitilya and former Miss Tanzania Shoshe Sinare and Mr Sioi Sumari, a former official of the bank, are languishing in jail awaiting hearing of their application for bail.

The three were charged with seven counts among them money laundering, forgery, abuse of office, corruption, obtaining advantage and transfer of proceeds and are in remand.

Kenyan media reported that President John Magufuli’s government wants Mr Awale to answer questions over the transaction of the deal in which he played a key role.

An investigation in the UK by the Serious Fraud Office revealed how Mr Awale, Mr Kitilya and Ms Sinare were key players in pushing the deal through leading to a $6 million (Sh600 million) bribery scam.

Source: alleastafrica
Ni hatari sana siasa za visasi zikianza kuvuka mipaka tusishangae kuanza kuona mambo ya Alshabab yakitamalaki nchini, be careful.
 
Kumbe kosa la kufukuzwa kwake lilikwa kujihusisha sana na siasa? sasa mbona balozi wa china bado yupo nae alijihusisha pia na siasa tena yeye hadharani maana alifikia kupanda jukwaani na sare za chama fulani?
 
Bashiru Awale alikuwa tayari kafojiwa cheti cha Kuzaliwa cha Dodoma na Ndugu Lowasa ili Kama ingetokea Watanzania wangefanya Makosa wakamchagua Basi Bashiru Awale alikuwa alipangwa kuwa Governor Mpya wa Bank kuu!
Kwahiyo umeona usipomtaja Lowasa haitakuwa na mvuto, pole sana. Fancy nae amemtengenezea nani?
 
Mlimfukuza wenyewe, ss mnaomba arudishwe,uwa mnakurupuka sana
 
Bashiru Awale alikuwa tayari kafojiwa cheti cha Kuzaliwa cha Dodoma na Ndugu Lowasa ili Kama ingetokea Watanzania wangefanya Makosa wakamchagua Basi Bashiru Awale alikuwa alipangwa kuwa Governor Mpya wa Bank kuu!
serikakali ilikurupuka kumfukuza bila kutafakari kuwa nyuma yake kuta tokea nini
 
Akiamua kutaja list ya watu waliochukua hela ya Escrow na Sandarusi pale mtahimili?
 
Bashiru Awale alikuwa tayari kafojiwa cheti cha Kuzaliwa cha Dodoma na Ndugu Lowasa ili Kama ingetokea Watanzania wangefanya Makosa wakamchagua Basi Bashiru Awale alikuwa alipangwa kuwa Governor Mpya wa Bank kuu!
Bora hilo dubwasha lilishindwa, kweli lilikuwa linaenda kuuza nchi
 
Back
Top Bottom