Ifike wakati tukubaliane team ya taifa iundwe na wachezaji wa Simba, Yanga na Azam, hao wa kuokoteza Dodoma, Ndanda na Prison watatuchelewesha.
Stars imecheza vizuri sana first half lakini tatizo ni umaliziaji. Tumekosa mtu sahihi wa kumaliza shughuli pale mbele na kama mwalim hatafanya jambo sioni tukitoboa kwenye mechi hii.