Umeona mkuu, yaani cross za Kapombe na Faridi zinapotea bure tu hakuna wa kufunga huyu Nchimbi na Lyanga ni wa hovyo sana hawa jamaa aiseeGoli atatia nani? Tuko ovyo sana tukifika katik final 3rd ya uwanja.
Yani nakwambia wakituotea kimoja tu ujue mchezo ndo umeishia hapo, umiliki tupo juu leo kwasababu pale katikati kuna Ndemla na Fai toto, pia Kaseke anasaidia Sana pale.Japo tunawashambulia Sana,na possession ipo kwetu,ila hawa jamaa wana foot work nzuri kuliko sisi.....angalia wanavyobuild mashambulizi wanafuata principles....sisi tunapiga mbele tu
Kumbe!!Yani nakwambia wakituotea kimoja tu ujue mchezo ndo umeishia hapo, umiliki tupo juu leo kwasababu pale katikati kuna Ndemla na Fai toto, pia Kaseke anasaidia Sana pale.
Yani tungekuwa na mtu mwenye kasi kule upande wa kulia Kama Dillunga halafu pale kwa Lyanga angekuwepo mtu Kama Iddi Nado na nafasi ya Nchimbi angesimama Bocco hawa jamaa ingekuwa tayari wesha lala mapema tu.
Kwa hiki ninacho kiona hapa naweza sema uko sahihi kabisa mkuu.Ifike wakati tukubaliane team ya taifa iundwe na wachezaji wa Simba, Yanga na Azam, hao wa kuokoteza Dodoma, Ndanda na Prison watatuchelewesha.
Stars imecheza vizuri sana first half lakini tatizo ni umaliziaji. Tumekosa mtu sahihi wa kumaliza shughuli pale mbele na kama mwalim hatafanya jambo sioni tukitoboa kwenye mechi hii.
Mwamnyeto anapiga mipira mizuri sana ila hakuna mmaliziaji, kutokana na vimo vya washambuliaji wetu ni afadhali tupunguze hii mipira ya juu.Umeona mkuu, yaani cross za Kapombe na Faridi zinapotea bure tu hakuna wa kufunga huyu Nchimbi na Lyanga ni wa hovyo sana hawa jamaa aisee
Hii mechi ingeisha mapema hata beki 3 angekuwa Tshabalala cos cross za huyu beki Manyama wa Namungo daah inakatisha tamaa,kunafree kick kapiga shida tupu......hii mechi Dilunga,Tshabalala,Sure boy,Idd Nado,Mkude mechi ingeisha mapema kiasiYani nakwambia wakituotea kimoja tu ujue mchezo ndo umeishia hapo, umiliki tupo juu leo kwasababu pale katikati kuna Ndemla na Fai toto, pia Kaseke anasaidia Sana pale.
Yani tungekuwa na mtu mwenye kasi kule upande wa kulia Kama Dillunga halafu pale kwa Lyanga angekuwepo mtu Kama Iddi Nado na nafasi ya Nchimbi angesimama Bocco hawa jamaa ingekuwa tayari wesha lala mapema tu.
Kabisa mkuu, alafu hivi Yassin yuko wapi kwanini asipewe nafasi labda ataleta kitu tofauti na huyu Manyama huyu.Hii mechi ingeisha mapema hata beki 3 angekuwa Tshabalala cos cross za huyu beki Manyama wa Namungo daah inakatisha tamaa,kunafree kick kapiga shida tupu......hii mechi Dilunga,Tshabalala,Sure boy,Idd Nado,Mkude mechi ingeisha mapema kiasi
Haya tumchezeshe striker gani wa Azam Simba na Yanga tutajieni Basi???? Huko Simba akina kagere mugalu miquson wote wageniIfike wakati tukubaliane team ya taifa iundwe na wachezaji wa Simba, Yanga na Azam, hao wa kuokoteza Dodoma, Ndanda na Prison watatuchelewesha.
Stars imecheza vizuri sana first half lakini tatizo ni umaliziaji. Tumekosa mtu sahihi wa kumaliza shughuli pale mbele na kama mwalim hatafanya jambo sioni tukitoboa kwenye mechi hii.
Nadhani yupo sub,labda atapata nafasiKabisa mkuu, alafu hivi Yassin yuko wapi kwanini asipewe nafasi labda ataleta kitu tofauti na huyu Manyama huyu.
Kifupi huku upande wa kushoto kumekufa kabisa