Serikali haijengi viwanda na ukisubiri utangoja Sana ! Kazi ya serikali Ni kujenga mazingira bora ya uwekezaji. Na ninadhani ni vizuri Kama hoja ingekuwa je serikali imejenga mazingira yanayowezesha wawekezaji kujenga viwanda. Kutamani serikali ijenge viwanda ni kuturudisha hatua nyuma wakati serikali zikifanya biashara.