Tanzania ndio nchi pekee Ambayo ukimtongoza mwanamke÷
-Anasikia njaa hapo hapo
-Simu yake inaharibika Then umnunulie nyingine
-Siku yake ya kuzaliwa inajirudia
-Kodi ya nyumba inaisha
-Gesi inaisha
-Umeme unaisha
-Anakua yatima Completely
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using
Jamii Forums mobile app