TANZANIA YA MAGUFULI
Hii ndiyo Tanzania mpya ya Dr. John Magufuli
1. Vijiji vyote Tanzania vitakuwa na umeme wa uhakika, Rural Energy Argency (REA) imeshaanza kazi hiyo.
2. Wanawake na vijana watapata mikopo kupitia vikundi vyao. Milioni 50 zitatengwa kufanikisha mikopo hiyo inatolewa ili kupunguza umasikini katika ngazi ya familia
3. Madereva wote watakuwa na mikataba ya ajira. madereva jiandaeni kusaini mikataba nikiingia ikulu
4. Wanyonge wote watathaminiwa mf: wamachinga na mama nitilie. serikali yangu ya awamu ya tano haitowaonea wanyonge
5. Watumishi wa serikali watapata nyumba za kuishi karibu na vituo vyao vya kazi. Nikiapishwa watendaji wote wa serikali wajiandae kuishi kwenye vituo vyao vya kazi, sivyo waache kazi.
6. Kila kijiji kitakuwa na zahanati, kila kata itakuwa na kituo cha afya, kila wilaya itakuwa na hospitali ya wilaya na kila mkoa utakuwa na hospitali ya rufaa
7. Shule zitajaa walimu wa sayansi
8. Miundombinu ya barabara itaimarishwa zaidi na barabara zitapitika majira yote ya mwaka
9. Wafanyakazi wazembe wote watawajibishwa
CHAGUA MAGUFULI MWANA MABADILIKO YA KWELI
Mtu wa ajabu sana wewe unaetaka power bank wakati mitambo ya gas ndo inafanyiwa majaribio saivi, ikishakaa sawa tunakula good time na Magufuli wetu
Ni zuzu pekee anaeweza kuamini haya hata akitenga 80% ya bajeti kwa miaka 5 hawezi. arudishe kwanza hela za samaki na alizosema mkaguzi mkuu wa serikali CAG ndo atoe ahadi mpya
Mpumbavu wewe! Mjini kwenyewe hakuna umeme wa uhakika, toka Tanzania ipate UHURU, itakuwa vijijini?TANZANIA YA MAGUFULI
Hii ndiyo Tanzania mpya ya Dr. John Magufuli
1. Vijiji vyote Tanzania vitakuwa na umeme wa uhakika, Rural Energy Argency (REA) imeshaanza kazi hiyo.
Naashauri tuanze na richmond, unaonaje hapo?
Vijana wenzangu
tusijitafutie laana bure
Kwa kutokumchagua magufuli
Magufuli hafanan hata kidogo na fisadi lowasa
Yy n msomi
Ana afya njema
Sio mnafiki
ana msimamo
Ni mkweli
Ni muadilifu
Mchapakazi
Na
Hajawahi kujinyea hata alipokuwa mdogo