Tanzania ya Magufuli

Tanzania ya Magufuli

Mariswaga

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
201
Reaction score
2
TANZANIA YA MAGUFULI
Hii ndiyo Tanzania mpya ya Dr. John Magufuli
1. Vijiji vyote Tanzania vitakuwa na umeme wa uhakika, Rural Energy Argency (REA) imeshaanza kazi hiyo.
2. Wanawake na vijana watapata mikopo kupitia vikundi vyao. Milioni 50 zitatengwa kufanikisha mikopo hiyo inatolewa ili kupunguza umasikini katika ngazi ya familia
3. Madereva wote watakuwa na mikataba ya ajira. “madereva jiandaeni kusaini mikataba nikiingia ikulu”
4. Wanyonge wote watathaminiwa mf: wamachinga na mama nitilie. “serikali yangu ya awamu ya tano haitowaonea wanyonge”
5. Watumishi wa serikali watapata nyumba za kuishi karibu na vituo vyao vya kazi. Nikiapishwa watendaji wote wa serikali wajiandae kuishi kwenye vituo vyao vya kazi, sivyo waache kazi.
6. Kila kijiji kitakuwa na zahanati, kila kata itakuwa na kituo cha afya, kila wilaya itakuwa na hospitali ya wilaya na kila mkoa utakuwa na hospitali ya rufaa
7. Shule zitajaa walimu wa sayansi
8. Miundombinu ya barabara itaimarishwa zaidi na barabara zitapitika majira yote ya mwaka
9. Wafanyakazi wazembe wote watawajibishwa
CHAGUA MAGUFULI MWANA MABADILIKO YA KWELI
 
Tunataka kujua zile nyumba za serikali atazirudishaje?? Tuanze na hilo kwanza mengine badae.
 
arudishe nyumba alizoonga vimada wake kwanza
 
-wafanyakazi wataishi kwenye nyumba zipi, mbona ziliuzwa huenda JPM hakushirikishwa zilipouzwa.
-Walimu wa sayansi watatoka wapi, labda tu-import
-otherwise HONGERA SANA kwa idea safi
 
Naashauri tuanze na richmond, unaonaje hapo?

then tutaendelea na epa, escrow, buzwagi, meno ya tembo, twiga, madawa ya kulevya, safari za vasco, babu seya, Dr. ilimboka na minofu ya samaki
 
Ujinga mtupu, mambo muhimu kwa watanzania kama katiba mpya hayaahidiwi!!
 
Kichekesho cha siku...eti vijiji vyote vitapata umeme. Hizi asilikia chache tu kizungumkuti. Sembuse vijiji vyote. Usichekeshe walionuna
 
TANZANIA YA MAGUFULI
Hii ndiyo Tanzania mpya ya Dr. John Magufuli
1. Vijiji vyote Tanzania vitakuwa na umeme wa uhakika, Rural Energy Argency (REA) imeshaanza kazi hiyo.
2. Wanawake na vijana watapata mikopo kupitia vikundi vyao. Milioni 50 zitatengwa kufanikisha mikopo hiyo inatolewa ili kupunguza umasikini katika ngazi ya familia
3. Madereva wote watakuwa na mikataba ya ajira. “madereva jiandaeni kusaini mikataba nikiingia ikulu”
4. Wanyonge wote watathaminiwa mf: wamachinga na mama nitilie. “serikali yangu ya awamu ya tano haitowaonea wanyonge”
5. Watumishi wa serikali watapata nyumba za kuishi karibu na vituo vyao vya kazi. Nikiapishwa watendaji wote wa serikali wajiandae kuishi kwenye vituo vyao vya kazi, sivyo waache kazi.
6. Kila kijiji kitakuwa na zahanati, kila kata itakuwa na kituo cha afya, kila wilaya itakuwa na hospitali ya wilaya na kila mkoa utakuwa na hospitali ya rufaa
7. Shule zitajaa walimu wa sayansi
8. Miundombinu ya barabara itaimarishwa zaidi na barabara zitapitika majira yote ya mwaka
9. Wafanyakazi wazembe wote watawajibishwa
CHAGUA MAGUFULI MWANA MABADILIKO YA KWELI

Kupitia chama gani mkuu?Hivi CCM ni mpya hapa Tanzania?Kwahiyo Kikwete ajafanya chochote wamekubali.
 
TANZANIA YA MAGUFULI
Hii ndiyo Tanzania mpya ya Dr. John Magufuli
1. Vijiji vyote Tanzania vitakuwa na umeme wa uhakika, Rural Energy Argency (REA) imeshaanza kazi hiyo.
2. Wanawake na vijana watapata mikopo kupitia vikundi vyao. Milioni 50 zitatengwa kufanikisha mikopo hiyo inatolewa ili kupunguza umasikini katika ngazi ya familia
3. Madereva wote watakuwa na mikataba ya ajira. "madereva jiandaeni kusaini mikataba nikiingia ikulu"
4. Wanyonge wote watathaminiwa mf: wamachinga na mama nitilie. "serikali yangu ya awamu ya tano haitowaonea wanyonge"
5. Watumishi wa serikali watapata nyumba za kuishi karibu na vituo vyao vya kazi. Nikiapishwa watendaji wote wa serikali wajiandae kuishi kwenye vituo vyao vya kazi, sivyo waache kazi.
6. Kila kijiji kitakuwa na zahanati, kila kata itakuwa na kituo cha afya, kila wilaya itakuwa na hospitali ya wilaya na kila mkoa utakuwa na hospitali ya rufaa
7. Shule zitajaa walimu wa sayansi
8. Miundombinu ya barabara itaimarishwa zaidi na barabara zitapitika majira yote ya mwaka
9. Wafanyakazi wazembe wote watawajibishwa
CHAGUA MAGUFULI MWANA MABADILIKO YA KWELI

Ni zuzu pekee anaeweza kuamini haya hata akitenga 80% ya bajeti kwa miaka 5 hawezi. arudishe kwanza hela za samaki na alizosema mkaguzi mkuu wa serikali CAG ndo atoe ahadi mpya
 
Hizo ni ndoto za alinacha km wameshindwa miaka yote sasa hivi ndio wataweza?hatudanganyiki Lowasa oyeeee hadi ikulu.
 
Sipati picha hiyo tz itakuwaje,naona kama nyu yoki vile
 
Hatutaki ya Magufuli tunataka Tanzania ya Watanzania... Hivyo viwanda labda vitumie umeme wa powerbank. Shame on you Magufuli fans
 
Swali la kuuzwa kwa nyumba za serikali muulize Mr. Zero, tena alishalijibia kwenye press conference wakati yupo waziri mkuu. Halafu Lowasa na Mr. Zero waeleze kila mmoja aliiba nyumba ngapi kati ya hizo
 
Back
Top Bottom