Ni kweli Tanzania ya kesho haitakua tena yakushangaza kwani uwepo wa mambo ambayo hatukuzoea kuyaona au kuyasikia itakuwa kawaida kwetu kwa mambo yafuatayo;
Ushoga, kwa sasa hili jambo tunaona ni kama kwenenda nje ya maadili na miiko ya jamii nyingiza kitanzania na Afrika pia lakini ni jambo ambalo linakuja kwa kasi na hasa tatizo likiwa ni umaskini na tamaa yakupata hera kwa njia rahisi na haraka kwa mji kma Dar es salaam hili swala lmeanza kukua kwa kasi na ndani ya miaka mitano ijayo halitakuwa jambo lakushangaza kwa hapa mjini, lakini kwa mikoani huko jambo hili litachukua miaka kumi ambako nako wala hakutkua tena na hii aibu kwani hata swala la wanawake kuanza kujiuza lilipingwa sana lakini kwa sasa limekua jambo lakawaida kwa nchi nzima, hvyo nasikitika kama Taifa hatutafanya kitu kuondokana na hili swala.
Ukahaba, kwa mara ya kwanza shughuli ya kujiuza ilipoanza wengi tulikua tunashangaa inakuaje mwanamke kujiuza lakini mpka sasa hili tena sio swala lakushangaza kwani bishara hii kwa sasa imekua tunaichukulia kawaida kwani tumekua tukiwaona mabarabarani wakinadi biashara hyo,wapi Tanzania yakesho itakapo kua? ni kwamba kwa badae biashara hii itakua ikifanywa zaidi na wasomi ndiyo wasomi walio na degree zao kwani kisomo chao hakijawasaidia kwani ukosefu wa ajira unawafanya waingie huku tofauti na kipindi chanyuma ambapo ajira zilkuepo. Nakwasasa biashara hii inashamili mitandaoni ambapo huko kuna mitandao yao yakujiuzia kma Tinder na exotic.tz hizi ndo maalufu kwa biashara hizo.
Kwakumalizia, sisi kama watanzania kwapamoja tukiungana na serikali iliopo kuongeza bidii katika kukemea haya mambo tutakua na taifa safi.