Tanzania Ya Chama Kimoja Itapendeza Zaidi

Tanzania Ya Chama Kimoja Itapendeza Zaidi

Dr Guitar tz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
312
Reaction score
247
Ni mawazo yangu tu,ikiwa tutakua wote wamoja,tutumie Vizuri taaluma za watanzania toka vyama vyote kwa manufaa ya nchi ili kuiondoa nchi hapa ilipo sasa
Tupo nyuma sana km nchi,hivyo ni budi tuwe Na mshikamano mkubwa kuelekea mafanikio
Kama ni suala la vyama vingi lije baadae tutapokua Na uwezo wa kuviendesha Na kuvumiliana.
 
Hakuna kitu kama icho acha tufe demokrasia itapatikana tu kilichokuwa na mwanzo kinamwisho wake
 
Back
Top Bottom