Tanzania worst country to grow old - BBC

Rio Tinto

JF-Expert Member
Sep 18, 2014
777
450
kwa mujibu wa makala ndani ya mtandao wa BBC www.bbc.com/news/world-africa-34198626 Tanzania is among the worst 10 countries to grow old....yaani kwa lugha nyepesi sio nchi rafiki kwa wazee katika njanja za usalama wao, afya, bima za wazee na social interaction...nchi inayoshika mkia ni Afghanistan....
 
Itakuwa ni kweli,maana mpaka leo wazee hawajapata haki zao,sijui wanakula nini maskini.Katika nchi za Ulaya the old are provided with everything.Kama wao wanaweza wakati hawana dhahabu,alimasi,mbuga za wanyama,Chuma,good agricultural land,forestry,gas you name it,why can't we.Ni kukosa maono tu.Majuzi niliweka uzi kuhusu mambo ambayo raisi atakayeingia madarakani anapaswa kuyaangalia kuhusu wazee,lakini haukaa hata kidogo.Within minutes nikawa siuoni.Mods vipi?Urudishe bwana.
kwa mujibu wa makala ndani ya mtandao wa BBC www.bbc.com/news/world-africa-34198626 Tanzania is among the worst 10 countries to grow old....yaani kwa lugha nyepesi sio nchi rafiki kwa wazee katika njanja za usalama wao, afya, bima za wazee na social interaction...nchi inayoshika mkia ni Afghanistan....
 
kwa mujibu wa makala ndani ya mtandao wa BBC www.bbc.com/news/world-africa-34198626 Tanzania is among the worst 10 countries to grow old....yaani kwa lugha nyepesi sio nchi rafiki kwa wazee katika njanja za usalama wao, afya, bima za wazee na social interaction...nchi inayoshika mkia ni Afghanistan....

Kiuhalisia tanzania wazee wanapata shda sana linalokuja suala la huduma za kijamii hasa hospital coz mazngira cyo rafk hata kidogo ukianza na miundombinu na huduma zenyewe
 
Tanzania kwa ujumla life ni ngumu sana wasizunguke zunguke mara wazee,maana wengi wa wazee ndio hawakufanikiwa wakiwa vijana..nenda singida,mtera hata dodoma baadhi ya sehemu tofauti na maisha ya somalia ni kuwa hutoona vifaru..yaani utajiuliza huku nako wana wabunge wanaowawakilisha..
 
Mkuu umenigusa Sana. Vijana wa Leo ndio wazee wa kesho.

swali ni jeeee kwa nini huu aya yoote watu wanajua lkn wanatetea m saa matumbo yao na ya rafki zao
 
Back
Top Bottom