The Monk Platinum Member Oct 12, 2012 19,254 42,873 Aug 29, 2018 #21 Wick said: Umejuaje haina uwezo!?.. Kurusha satilaiti ni priority kama kujenga SGR, Meglev, flyover etc!.. Click to expand... Kwenye hiyo mifano uliyotoa ni kipi kilichokamilika?
Wick said: Umejuaje haina uwezo!?.. Kurusha satilaiti ni priority kama kujenga SGR, Meglev, flyover etc!.. Click to expand... Kwenye hiyo mifano uliyotoa ni kipi kilichokamilika?
Wick JF-Expert Member Dec 19, 2012 8,313 12,124 Aug 29, 2018 #22 Samaritan said: Kwenye hiyo mifano uliyotoa ni kipi kilichokamilika? Click to expand... ni kukamilika au kipaumbele tunajadiri me n' you!?..
Samaritan said: Kwenye hiyo mifano uliyotoa ni kipi kilichokamilika? Click to expand... ni kukamilika au kipaumbele tunajadiri me n' you!?..
The Monk Platinum Member Oct 12, 2012 19,254 42,873 Aug 29, 2018 #23 Wick said: ni kukamilika au kipaumbele tunajadiri me n' you!?.. Click to expand... Hatujadili hata kimoja kati ya hivyo, angalia vizuri tulikoanzia.
Wick said: ni kukamilika au kipaumbele tunajadiri me n' you!?.. Click to expand... Hatujadili hata kimoja kati ya hivyo, angalia vizuri tulikoanzia.
Wick JF-Expert Member Dec 19, 2012 8,313 12,124 Aug 29, 2018 #24 Samaritan said: Hatujadili hata kimoja kati ya hivyo, angalia vizuri tulikoanzia. Click to expand... sawa
Samaritan said: Hatujadili hata kimoja kati ya hivyo, angalia vizuri tulikoanzia. Click to expand... sawa
E etb JF-Expert Member Jun 9, 2015 270 190 Aug 29, 2018 #25 Samaritan said: Hatujadili hata kimoja kati ya hivyo, angalia vizuri tulikoanzia. Click to expand... Unajichosha tu mkuu
Samaritan said: Hatujadili hata kimoja kati ya hivyo, angalia vizuri tulikoanzia. Click to expand... Unajichosha tu mkuu
A Amri kuu ni Upendo JF-Expert Member Oct 18, 2012 789 474 Aug 30, 2018 #26 Wick said: Ni ajabu sana karne ya 21 mtu hujui faida ya Safari za Anga na Satilaiti angani!.. Ila sawa tutafika tu Tanzania yetu sote!!.. Click to expand... Yuko right, safari za anga kwa tija IPI bhana!! Kwanza story zenyewe za space ulongo mtupu!! Sent using Jamii Forums mobile app
Wick said: Ni ajabu sana karne ya 21 mtu hujui faida ya Safari za Anga na Satilaiti angani!.. Ila sawa tutafika tu Tanzania yetu sote!!.. Click to expand... Yuko right, safari za anga kwa tija IPI bhana!! Kwanza story zenyewe za space ulongo mtupu!! Sent using Jamii Forums mobile app
Wick JF-Expert Member Dec 19, 2012 8,313 12,124 Aug 30, 2018 #27 Amri kuu ni Upendo said: Yuko right, safari za anga kwa tija IPI bhana!! Kwanza story zenyewe za space ulongo mtupu!! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Leo sipo vizuri kujibu utumbo mkuu!..
Amri kuu ni Upendo said: Yuko right, safari za anga kwa tija IPI bhana!! Kwanza story zenyewe za space ulongo mtupu!! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Leo sipo vizuri kujibu utumbo mkuu!..