The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 19,239
- 42,839
Umejuaje haina uwezo!?.. Kurusha satilaiti ni priority kama kujenga SGR, Meglev, flyover etc!..
Kwenye hiyo mifano uliyotoa ni kipi kilichokamilika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje haina uwezo!?.. Kurusha satilaiti ni priority kama kujenga SGR, Meglev, flyover etc!..
ni kukamilika au kipaumbele tunajadiri me n' you!?..Kwenye hiyo mifano uliyotoa ni kipi kilichokamilika?
ni kukamilika au kipaumbele tunajadiri me n' you!?..
sawaHatujadili hata kimoja kati ya hivyo, angalia vizuri tulikoanzia.
Unajichosha tu mkuuHatujadili hata kimoja kati ya hivyo, angalia vizuri tulikoanzia.
Yuko right, safari za anga kwa tija IPI bhana!! Kwanza story zenyewe za space ulongo mtupu!!Ni ajabu sana karne ya 21 mtu hujui faida ya Safari za Anga na Satilaiti angani!.. Ila sawa tutafika tu Tanzania yetu sote!!..
Leo sipo vizuri kujibu utumbo mkuu!..Yuko right, safari za anga kwa tija IPI bhana!! Kwanza story zenyewe za space ulongo mtupu!!
Sent using Jamii Forums mobile app