Tanzania: Why we pay Double VAT?



bado hata kiwango cha VAT hapa ni kikubwa uki-compare na jirani zet uganda na kenya..sijui sisi wametumia kigezo gani
 

zinakuwa treated tofauti kwa sababu na zenyewe ni tofauti.
 
Sasa hayo makato yanayokatwa wakati wa kuongea si ndio matumizi yenyewe hayo. Sidhani kama tunaweza kuyaita VAT.
Kwa case yako unataka tusikatwe means tuongee bure au mimi ndio sijaelewa hapo.
Pia nasikia ukinunua vocha kuanzia ya elf 2 tayari ishakatwa vat ila za kurudi chini ndio vat inakatwa unapotumia.
 

VAT inakuwa taxed unaponunua a product. Kwani unapoongea ndo unakuwa umenunua hiyo product? The only plausible argument wanayoweza kuweka ni kwamba kumetokea value addition from the moment of buying to the moment of usage. Hiyo value ikoje na how have they quantified it?
 
Kwa hiyo,una maana hiyo ya pili ni kwa ajili ya kulipia madeni ya kanga/vitenge/kofia nk za uchaguzi na madeni ya Dowans sio !!!!!!!
nadhani hiyo ya pili tunawalipia shivacom na alfatel gharama za uendeshaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…