Kilakshari
JF-Expert Member
- Dec 13, 2008
- 350
- 20
.....pamoja na kwamba Simba inachemka kwenye Vodacom Premier League lakini bado ndo Timu inayotegemewa kutoa wachezaji wengi wa First Eleven ya Timu ya Taifa:Taifa Stars XI vs Morocco: Kaseja (c), Nyoni, Kapombe, Morris, Yondani, Domayo, Ngasa, Sureboy, Samatta, Kiemba, Kazimo to
Yah! TBC1 leo wamejikakamua.Tbc1 LIVE jamani angalieni