Tanzania v Zimbabwe kufuzu AFCON 2015

Tanzania v Zimbabwe kufuzu AFCON 2015

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
2,176
Reaction score
1,475
Game itakuwa May 16-18, mshindi wa hapo anakutana na mshindi kati ya Msumbiji v Sudan Kusini.
 
Bado, nasikia kocha mpya ameongeza wachezaji, na amewatema wengine. sijui aliwaona wapi!!!?
Ameyakuta wamemchagulia na viongozi wa tff.......chezea tff wewe!!!!
 
hajachagua wachezaj hao ...kwan kawaona wap? nyi mlikuwa mnapigia debe Jamal Malinz subirin tu muone mpira utakavyo kuwa hapa TZ. kama nyasi bandia tu kaamua kukimbizia bukoba wakat kuna viwanja vikubwa vya majiji havina nyasi hizo ambazo zingesaidia kwa team za kanda husika. ARUSHA,MBEYA,MWANZA.
 
Hiyo game tumeisha tolewa mkuu!Kocha mpya anapewa team weeks 2 kabla ya mashindano unategemea nn?Team yenyewe kachaguliwa na Salum Madadi na Mayanga makocha wenye mbinu za kale mno!
 
Bado, nasikia kocha mpya ameongeza wachezaji, na amewatema wengine. sijui aliwaona wapi!!!?
Katavi huyu Jamal Malinzi anatuchezea sana watz kwa kweli!Unamleta kocha weeks 2 kabla ya mashindano makubwa kama haya afanye nn?Why alimfuta kazi Kim kama alijua team itacheza na Zimbabwe bila maandalizi ya kocha?

Unampa kocha huyu wachezaji walioteuliwa na Mayanga na Madadi?Malinzi kama Ndolanga tu
 
Last edited by a moderator:
Mbona Zimbabwe ni wa wastani tu jamani?

Mkuu uliona Taifa Stars na Burundi na team yetu eti ya maboresho?
Kuna wachezaji wameitwa Stars hata team yangu hapa kijijini Ipinda HAWEZI pata namba!
Ni kweli Zimbabwe ni team ya kawaida lkn sio kwa maandalizi kama haya!Unampa kocha team weeks 2 kabla ya mechi kubwa kama hii ili afanye miujiza kama ya Yesu au?
TZ tumeisha tolewa!
 
Karoho kananiuma sana yani tunatolewa aaaaahatua ya kwanza .hizi habari za kocha mpya wiki mbili kabla ya mechi zinanihuzunisha sana .zimbabwe ni wazuri walifika fainali ya kombe la CHAN mwaka jana
 
Tukalime hatuwezi kuwaondoa zimbabwe na musumbiji
..kweli kabisa
Ilishapigwa 3 na nduguzetu wa Burundi,...Sasa na Zimbabwe!!!!?
...alishawahi kutufunga hapa Taifa juzi juzi tena timu B

Mbona naona kama taifa starz tayar wameshatolewa!!!!
....Tuanze kujipanga WC qatar 2022
Hatuna mpya tumeshatolewa tayari.
...sisi ni kawaida yet kunusa na kutolewa

Bado, nasikia kocha mpya ameongeza wachezaji, na amewatema wengine. sijui aliwaona wapi!!!?
...kapangiwa na Salum Mayanga na Salum Madadi
Ameyakuta wamemchagulia na viongozi wa tff.......chezea tff wewe!!!!
....wachezaji wa kujuana

Mbona Zimbabwe ni wa wastani tu jamani?
....tusijilinganishe nao
 
Taifa Stars ya maboresho ni project ya hovyo kabisa kuwahi kutokea katika dunia ya mpira zama hizi naamini huu ni mradi wa kutafuna hela ya mdhamini KILIMANJARO LAGER.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom