Manumbumichael
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 207
- 19
Naomba kuuliza kwa mtu yeyote jamvini anayefahamu hawa United Parcel Service wanapatikana wapi kwa hapa Dar es Salaam aniambie, kama anaweza nisaidia pia na contacts zao nitashukuru zaidi
Natanguliza shukran zangu za dhati
Natanguliza shukran zangu za dhati