Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,212
- 6,972
Kwa preliminary budget ya 2019, Wizara ya Elimu itapata $4B! Polisi watapata $2.4B na KDF watapata $1.3B...... hizo zote ni pesa za ndani... Kwahivyo kama hizo Wizara tatu Tu ni hivyo na unasema ni ' 5% ' ya bajeti, inamaanisha ni uombe tusiwahi Kukabili ufisadi manake tukifanyikiwa tutakua tunatumia 50% na hapo hamtatushika , mtakua mnafanya kutuskia Kwa maredio Tu..SGR tunayojenga kwa pesa yetu, hizi awamu mbili pekee tulizoanza nazo zimetugharimu $3.9B, hii ni pesa ya infrastructure zote Kenya zinazotumia pesa yenu ya ndani, ninarudia tena, infrastructure yenu yote inayotumia pesa yenu ya ndani haifikii $3.9B.
Pesa inayokusanywa na KRA, 52% ni mishahara 40% corruption, 5% pekee ndio inahudumia wananchi katika maeneo yote, Afya, elimu, security, infrastructure na kwengineko.
Sent using Jamii Forums mobile app