Nimekuwa mfuwatiliaji wa mambo yakisiasa ila katika jambo linanishangaza Tanzania tuna aina ya ajabu sana ya siasa.
Sii jambo la ajabu ukapiga mtonyo serikalini na baadae ukatumia sem mtonyo kununuwa watu kupitia makanisani na misikitini ili tu uwe kiongoz wao. Nakwa hakika unakuwa na vigelegele wanakupigia pasipo kumbuka jana walipata msiba kwa uzembe wa yule kiongoz wamshangilia. Only in Tanzania.
Jambo lingine la ajabu sana ambalo sijapata kusikia katika siasa za duniani. Nipale baada ya uchaguzi kupita vyama vya siasa kuanza campain as if kuna uchaguzi siku za karibuni. Kwamfano Tz wamepata Rais mwaka jana ila ajabu vyama vya siasa vinataka tembea nchi nzima kupiga campain ukiuliza campain gani? Hawajuwi wanakifanya next uchaguz after 5year. Jamani embu tujiulize huu sio uzombist? Hehehe. But hii ni only Tz.
Pia ktk kupita pita uko duniani nimeona hii nayo nikiboko. Eti mfanyabiashara anaitunishia serikali misuli. Ee! Yes jamaa wanaitunishia serikal msuli! Duu alafu sasa ao watunisha misul wengine hata kodi awajuw inalipajwe. Eti serikali haiwatishi. Yes check hii Sukari. Jamaa wamefungia sukari. Wakati serikali inakakifungo ikibonyeza tu wote wanakuja sugua gaga kitaa.
Jaman only in Tanzania. Haya nikupe ya mwisho uko Tz kuna jamaa wa chama fulan wanafanya campen kumng'oa naibu spika. Jaman uliza idadi yao? Mh ajabu yan idadi yao kama tone la maji matam ndani ya bahari majibu unayo. Only in Tanzania bana.
Chezea wewe!