Companero Platinum Member Joined Jul 12, 2008 Posts 5,609 Reaction score 1,738 Feb 8, 2013 #1 "Mwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akitao utangulizi wa ripoti yao kabla ya kumkabidhi Spika wa Ofisini kwake Bungeni leo" - H@ki Ngowi: Taswira Kutoka Ofisi za Bunge:Spika Anne Makinda apokea ripoti ya Mapendekezo kuhusu Mapato na Matumizi ya Serikali Leo
"Mwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akitao utangulizi wa ripoti yao kabla ya kumkabidhi Spika wa Ofisini kwake Bungeni leo" - H@ki Ngowi: Taswira Kutoka Ofisi za Bunge:Spika Anne Makinda apokea ripoti ya Mapendekezo kuhusu Mapato na Matumizi ya Serikali Leo
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Feb 8, 2013 #2 Unashangaa hilo?
Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,820 Reaction score 4,264 Feb 8, 2013 #3 Yanatia uchungu,Mwenyezi Mungu anipe uhai niwasimulie haya madudu ya ccm wajukuu zangu japo hawataamini
Yanatia uchungu,Mwenyezi Mungu anipe uhai niwasimulie haya madudu ya ccm wajukuu zangu japo hawataamini