Leo nimepewa sijui niseme cd au dvd inayotangaza utalii wa Tanzania iliyoandaliwa na kutolewa na TTB. haifunguki wala huwezi kusoma hata data moja manually. Nimejaribu ktk devices mbali mbali yaani dvd deck, pc tofauti na laptops gadem haifunguki wala kuautoplay kama walivyosema. na ukifuata masharti ya autoplay waliyoweka inakuja BANG! error. WIZI MTUPU!
Kama hii ndiyo teknolojia wanashindwa kuitumia kwa nini wasiwatafute akina SISI tuwafanyie kazi wanazoshindwa?
Na cd hizi walizigawa ktk maonesho tena kwa wingi. najiuliza umakini wa taasisi hii ktk kutangaza utalii wetu.
je kuna yeyote muathirika wa kadhia hii kama mimi?
MKuu
nimeshawahi post several threads kuhusu TTB, these guys have serious issues... it all goes to the transformation mpaka kuwa TTB, hakuna capacity mle
Marketing manager ana agenda kama yeye ni service provide - focus number one ni posho na safari - upuzi mtupu
Information centre inafanya kazi kwenye utawala msonge, taarifa inachukua wiki kupata action items - shallow
Inaongozwa na maamuzi ya watawala na fedha wakati it is a customer oriented entity to our tourism - sdhortfalls in our policies and intelligency
i runs operations based on balance sheet, we expect more than than as no proper strategies are carried out
Hizo CD ni mazao ya poor procurement procedure
By the way!! what is their email? website je? online information centre? hotmline?
Wana unit ya research, can anyone guess the impact?
I just feel sorry for some of their employees who are just swimming in the swamp