Tanzania tops East Africa on wealth list

Tanzania's credit ranking according to Moody's rating is B1 negative due to Covid-19 problems etc, will this change to positive in few months time when the issues of Covid-19 are resolved?
 
Hivi tungekuwa kweli na hilo kundi tungelalamikia ukosefu wa sukari, ukosefu wa ajira. Au umeamua kujitoa ufahamu kichwani na ukaniuliza swali hilo!!!!!

Wewe ni hoe hae tu wala usijiingize maana huna sukari wala huna kazi sasa kwa nini unataka kujichanganya na sisi? Wacha sisi ambao sio hoe hae kama wewe tucheme.
 
Billionea mpya kaibuka Tanzania, sisi ni matajiri, sipati picha huko kwenye Tanzanite hali ikoje hivi sasa kwa wasaka madini. Kila mtu anatafuta kwa udi na uvumba ili atoke. Faida ya ukuta na masoko kila mkoa, wacha tuijenge nchi yetu ambayo ni chimbuko la mwanadamu.
 
Back
Top Bottom