M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
Huu ndiyo ukweli wenyewe (soma kiambatanishi hapa chini).
Watanzania wengi mioyo yao ina miiba ila kwa sababu ya "ukondoo" wetu ni wachache tu wanaoweza kusimama na kusema "hapana - imetosha!".
Wapo huko mitaani, wapo mashuleni, wapo vyuoni, wapo huku serekalini (watumishi), wapo bungeni (upinzani & CCM) na pia wapo hata ndani ya cabinet ya sasa.
And personally I know why.
Kwa uchache tu.... wananchi kuwa wahanga wa matusi kama vile kuitwa malofa, wapumbavu, nyumbu, Corona, nk, nk, nk.
Hii ukiachilia mbali sisi watumishi wa umma kupitia katika kipindi kigumu sana ambacho hakijawahi kutokea katika ajira zetu tangu uhuru, biashara kuporomoka, halmashauri kunyimwa fedha za miradi inayogusa kwa karibu maisha ya wananchi - the list goes on and on.