Nimetoka zangu Bukoba nataka kununua bidhaa kwenye jiji la Mwanza. Cha ajabu maduka yamefungwa, kisa kuna kesi ya kiongozi wa wafanyabiashara Dodoma. Dodoma na Mwanza wapi na wapi !Uchumi wa nchi hii utaenda kweli.........

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.