Tanzania, Suriname Back Kenya’s Bid For UN Security Council Seat.

Sinister

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
1,529
1,576
Tanzania and Suriname last evening pledged their support for Kenya's bid for a non-permanent seat on the UN Security Council during the election scheduled for June next year.

The assurances were delivered to President Uhuru Kenyatta at State House, Nairobi by Tanzania's Foreign Affairs Minister Palamagamba Kabudi and the President of Suriname Desire Delano Bouterse.
Mr Kabudi who paid President Kenyatta a courtesy visit as a special envoy of President John Pombe Magufuli, said Tanzania has full confidence in the ability of Kenya to represent the African continent in the security council.

“We have confidence in Kenya, that you will champion the African voice and will strongly advocate the continent’s position in the UN body,” Mr Kabudi said.

The special envoy, who was accompanied by Tanzania’s ambassador to Kenya Dr Batilda Salha Buriani, acknowledged Kenya’s leading role in the push for a united and progressive Africa.

On the maritime border dispute with Somalia, the special envoy said Tanzania supports Kenya's stand on the need to pursue the option of an out of court settlement.

In a separate meeting, President Bouterse, who is in the country on a private visit, assured President Kenyatta of his country's support for Kenya's UNSC bid.

The Suriname leader, who was accompanied by First Lady Ingrid Waldring Bouterse, thanked President Kenyatta for his visionary leadership saying Kenya is an emerging regional economic giant. Besides Suriname's support for Kenya's UNSC bid, the two leaders discussed opportunities for deepening bilateral ties between the two countries through trade, investment and people-to-people exchanges.
Presidents Kenyatta and Bouterse identified environmental conservation, blue economy and the Big 4 Agenda priority sectors of health, manufacturing, food security and housing as areas of mutual interest between Kenya and the South American nation.

"Mr President, I am glad our two ministers (for foreign affairs) have initiated conversations that I believe will go along way in strengthening our relations in these sectors,” the Suriname President told his host.
President Kenyatta welcomed the Suriname leader to the country and urged him to fully explore Kenya's hospitality saying the visit was a vote of confidence for Kenya as a top tourist destination in the world.

He thanked President Bouterse for Suriname's endorsement of Kenya's UNSC bid saying, "our position and belief is that this seat is not for Kenya but for all of us who share the same vision. That we may present a united voice and make a difference."

The two leaders also discussed the importance of the upcoming African Caribbean Pacific (ACP) conference to be held in Nairobi early next month saying the meeting will help deepen relations between the Caribbean and the African continent.

President Kenyatta last evening also received and held discussions with Hon Awut Deng Acuil, a special envoy of President Salva Kiir of South Sudan, at State House, Nairobi.

Hon Acuil, who is also his country's Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, briefed the President on the challenges being faced by his country in the ongoing implementation of the 2018 peace agreement.

The President reassured the special envoy of Kenya's commitment to continue supporting efforts towards the full implementation of the peace pact.

He urged the South Sudanese leaders to speed up the implementation of the agreement saying the 18 months of ceasefire experienced since the agreement came into being was a sign of a bright future for the country.

Foreign Affairs CS Monica Juma and Head of Public Service Joseph Kinyua attended the meetings
 
Kwasababu Tanzania imeamua kuwaunga mkono, kuweni na uhakika nchi zote za SADC zitawaunga mkono. Sasa Kenya inauhakika 80% mtashinda, "Tanzania has got historical influence in the continent".
Mlikuwa wapi Kenya iliposhinda 37-13 dhidi ya Djibouti kwenye kura zilizopigwa na nchi 51 za Afrika. Acheni shobo, Tz ina kura moja tu kati ya zaidi ya kura 180 ambazo zitapigwa na nchi zote ambazo zipo ndani ya UN.
 
Kuna tofauti kati ya kupiga kura na kupiga kampeni, kilichofanyika hivi sasa ni kutangaza hadharani kwamba Tanzania inaunga mkono Kenya, hiyo maana yake nchi zote za SADC haziwezi kwenda kinyume na Tanzania, nchi zingine ambazo haziwezi kupingana na Tanzania ni Burundi, Seychelles, na Uganda. Hata Tanzania ikiamua kutoipigia kura Kenya kimyakimya, bado hizi nchi zitaipigia Kenya kwasababu tayari Tanzania imewajuliasha. Kwa ujumla, msimamo wa Tanzania ni msimamo wa SADC.
 
Am very sure Tanzania was among the 13 that voted against Kenya
 
Upuuzi mtupu, ndio maana ndege yenu ilikamatwa S.A., nchi ya SADC. Kenya ndio inafanya kampeni, sio Tz, na mlivyo wanafik mmeanza shobo baada ya kuona dalili za Kenya kufanikiwa.
 
Upuuzi mtupu, ndio maana ndege yenu ilikamatwa S.A., nchi ya SADC. Kenya ndio inafanya kampeni, sio Tz, na mlivyo wanafik mmeanza shobo baada ya kuona dalili za Kenya kufanikiwa.
Tulipokataa kumuunga mkono Amina Mohammed, mlipiga kelele sana, sasa tumeamua kuwaunga mkono baada ya Uhuru Kenyatta kuamua kuturudishia dhahabu zetu na kwenda kumtembelea Magufuli kijijini Chato, mnaanza kusema hovyo.

Kumbuka kitu kimoja kwamba, Tanzania ndio " Nuclear " ya SADC kwahiyo msimamo wa Tanzania ambaye ndio mwenyekiti wa SADC kwasasa, lazima kabla ya kutangaza, Magufuli alikwisha wajulisha marais wa nchi zote za SADC na wamekubaliana. Tanzania inaushawishi mkubwa sana Afrika, huo ndio ukweli.
 
Am very sure Tanzania was among the 13 that voted against Kenya
Tanzania tunaushawishi mkubwa sana hapa Africa, tulishawishi UN kuiwekea vikwazo South Afrika katika kipindi cha ubaguzi wa rangi, wazungu walipokataa, Nyerere aliwatimulia vumbi hadi wakasalimu AMRI, soma historia utajua nguvu ya ushawishi wa Tanzania Afrika na duniani.
 
Mlikuwa wapi Kenya iliposhinda 37-13 dhidi ya Djibouti kwenye kura zilizopigwa na nchi 51 za Afrika. Acheni shobo, Tz ina kura moja tu kati ya zaidi ya kura 180 ambazo zitapigwa na nchi zote ambazo zipo ndani ya UN.

Ndio kitu najiuliza, walikaa pembeni kwa wivu hadi wamegundua tunashinda bila uhusika wao ndio wakaja kwa kimbelembele.
 
Ndio kitu najiuliza, walikaa pembeni kwa wivu hadi wamegundua tunashinda bila uhusika wao ndio wakaja kwa kimbelembele.
Eti watawashawishi waafrika wenzetu kwa niaba ya nchi ya Kenya, wakati kura za Afrika na baraka za AU ndio zilikuwa za kwanza kupata.
 
Am very sure Tanzania was among the 13 that voted against Kenya
Hujakosea jombaa. Nchi yeyote ya Afrika ambayo inatangaza kwamba itaunga mkono Kenya, kwenye 'stage' hii ya kampeni nje ya bara hili ni ile ambayo haikuipigia kura Kenya hapa Afrika. Suriname ambayo imetangaza msimamo pamoja na Tz ni nchi ya kule South America.
 
Tanzania tunaushawishi mkubwa sana hapa Africa, tulishawishi UN kuiwekea vikwazo South Afrika katika kipindi cha ubaguzi wa rangi, wazungu walipokataa, Nyerere aliwatimulia vumbi hadi wakasalimu AMRI, soma historia utajua nguvu ya ushawishi wa Tanzania Afrika na duniani.
Hii ushawishi unapiga nayo kelele hapa ni ushawishi gani? Kwanza mjisawishi mtoke kwenye lile tope la LDC.

Kenya ilipata kura kutoka mataifa 37 kati ya 51 zilizopiga kura. Je, nyinyi ndio mlishawishi hizo nchi zipigie Kenya kura wakati Tanzania yenyewe haikupigia Kenya kura? Or are you saying that you convinced the 12 countries that you voted with against Kenya? Wewe nyumbu kweli
 
Hujakosea jombaa. Nchi yeyote ya Afrika ambayo inatangaza kwamba itaunga mkono Kenya, kwenye 'stage' hii ya kampeni nje ya bara hili ni ile ambayo haikuipigia kura Kenya hapa Afrika. Suriname ambayo imetangaza msimamo pamoja na Tz ni nchi ya kule South America.
They had to. But they are doing that just because they don't have a choice. Deep down, they are not in support of Kenya. Halafu wanakuja hapa na lectures zao mingi about undugu na kupenda jirani yako! They think we don't know how much they hate Kenya.
 
Eti watawashawishi waafrika wenzetu kwa niaba ya nchi ya Kenya, wakati kura za Afrika na baraka za AU ndio zilikuwa za kwanza kupata.
Acheni ujinga ninyi, katika hizo kura mlizopata mkaishinda Djibouti unadhani Tanzania haikuwepo?, hizo kura hazikuwa na mvutano wowote ndio sababu hata Kenya yenyewe haikupiga kampeni kama mbavyofanya sasa hivi, ulikua ni uchaguzi wa wazi kabisa, kwasababu hakuna nchi iliyotegemea kwamba Kenya na Djibouti zingeshindwa kukubaliana na kusababisha kura zipigwe. Sema hizo kura mlizopata kama Tanzania haijawaunga mkono, lete ushahidi.
 
Back
Top Bottom