Hahaaa, na majitaka (maji na vinyes juu) no you cant be serious!!! Put these things well bana, Dsm is the face (reception) of our country. Nyie ndo mnawafanya viongozi wa nchi hii they dont care, hujakaa maeneo haya au kupita kuona inavyokera
Ahhhh!! nimegundua, wewe wa magogoni, samahani mkuu maana huyajui haya!!!!!!!!!!!!!!!!!
:embarrassed: duuuuhhhh ilimradi unaona kajani na ua.....
hapo kuziri hivyo......
halafu mnalami hapo mjini sana .....
ukinda nilikotoka ukipanda kamti mbuzi wanamaliza kabla hata mizizi haijafika chini....

Solutio hapo ni kidogotu, rudi kwenu kwasababu umeseme hakuna hizo maharufu, lakini kama hiyo haifai basi fanya mpango wa kuondoa hzo maharufu.hyo ikikushinda basi ka kimy nusia.