Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,999
wazo zuri. Kuhusu Marekani kusaidia katika majanga kama hayo kuna kitu kinaitwa "Shock Doctrine" janga likiisha ndio utajua manake nini! kwa Marekani kunapotokea tatizo wanakuja kusaidia kwa haraka sana ila wakishamaliza ndio utawajua wao ni nani. Nasema hivi sio kupinga wanachokifanya huko Haiti ila najua baada ya hapo watafanya nini, kwanza kama utakumbuka tayari walishapandisha bendera yao airport mpaka rais wa Haiti akawaambia kwamba wameenda mbali sana kwa kufanya hivyo.
All in all it is a good idea. TZ needs to help HAITI in any humanly possible way.
- Good idea, but what is the basis for the #50? Why not 5 or 500?
- To my knowledge, we have a team of trained natural disaster experts, why not send them together with some other needed personnel, i.e. millitary, police, Docs etc.?
Tusiwe tunaenda tu kubembea (JK) huko Carribean bila kuwakumbuka wakati wa shida.
Mwnakijiji wazo ni zuri sana, sababu what U are proposing is training!!!
The problem comes @ cost and availability of the needed professionals in our country.
How much will this mission cost?? I say well over $1million.
Sasa kweli hatuwezi kuwafundisha hawa watu TZ @ a fraction of the cost huko Kilosa, Mpwapwa while helping our own people???
Nadhani hao wataalamu wakae tu CNN, BBC waangalie, wadownload training materials hapo hapo TZ, then waende practical training Kilosa, Mpwawa nk in the next few weeks, itasaidia zaidi.
Wanataenda kuweka kiwingu tu huko! Waacheni wataalamu wafanye kazi yao!
Waende wakasaidie kubeba maboksi ya misaada...