Tanzania Shilling Heads for Sixth Weekly Drop on Dollar Demand

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
Najua BOT watarevise hii situation kwa kusema uchumi UNAKUA. This is too much wakuu
 
tusubiri tukipata serikali mambo yatakuwa afadhali. Kwa sasa tuko auto pilot.
 
Upumbavu wetu tungekuwa na GOLD REVERVES tunge PEG our Currency per our Shillings.

Kwahiyo sasa hivi GOLD iko juu, hela yetu isingeshuka... Mfano Mzuri ni Kenya, hela yao iko stable kwa muda Mrefu sababu ya GOLD reserve yao.

Na GOLD yetu tunawagawia Wazungu...
 
hata kama GOLD itakuwa iko juu mikataba yetu ni ya kijinga inanemesha wachache wala sio wnanchi ndio maana ukiona hela yetu haiko imara maana hatuna vitu tunavyotoa nje kwa lugha nyingine wanaochimba madini wanasafirisha kwenda south Africa na ndio maana south ndio inaonekana inatoa au inauza Gold kwa wingi . kwa kifupi wajinga ndio waliwao hata iweje nchi ni marehemu na kila cha akili ndio kinatuandama
 
Tena jinsi Gold ilivyo juu sasa nadhani tungepeta sana!
Ushauri wa Zito tuufanyie kazi ata kama ni ushauri wa kutoka upinzani!
Zito alisema haya makampuni badala ya kuuza Gold na ela zao kuishia uko uko tungewapa masharti to retain some of the money here in Tz to stabilize our tsh!
 
Maswala ya kitaifa tuachane nayo kwasasa, tusubiri kuanzia mwaka 2015 huenda tukabahatisha uongozi, nina amini Kikwete akihojiwa kwa hili atasema kwani yeye ni Mungu mpaka azuie kushuka kwa thamani ya Shilingi? Na hayo mambo yenu ya sijui gold resrve na ku-PEG Currency yapo Technical sana yasubiri mpaka nchi itakapo pata wasomi ndani ya serikali wasiofanya mambo kisiasa. Ndulu ni msomi kateuliwa na Kikwete mwanasiasa na Kikwete amedondosha uchumi wa Nchi, unategemea Ndulu aseme nini?
 

wewe kweli Una Mawazo ya kisiasa kusuburi mpaka 2015 Uchaguzi? So tuachie nchi yetu kiuchumi kuendelea kuanguka? Umelala mpaka 2015?

Yaani wewe unasubiri nchi ipate wasomi? My Friend tuna Wasomi wengi wa Kiuchumi tatizo ni Ugumu wa kufuata Ushauri Mzuri unaotolewa

Sababu tulikuwa na a lot of GOLD RESERVE; ilianza kuuzwa wakati wa Utawala wa Ali Hassan Mwinyi, alipata Ushauri na mmoja wa washauri wake alikuwa mwenyekiti wa CUF.

Economics is a very delicate Subject one wrong advice can destroy the whole Economy.

Just Poor Management which causes all these problems... And we cannot wait we need to work on it right now because have you see what has happened to Tunisia, Egypt and Now Libya and those countries have money but as I said Poor Management of the Economy causes people to rise up.

So Poor Economy Managements might cause our Governments to fail in a bloodshed fight If you wanted us to wait until 2015... we don't need to wait until 2015 -- PLEASE WAKE UP BROTHER!!!

The first lesson of economics is scarcity: There is never enough of anything to satisfy all those who want it. The first lesson of politics is to disregard the first lesson of economics
 
basi hata wachumi wa tanzania hasa mnaomshauri raisi mnafanya kazi gani eti? mbona mpo kama mazuzu.... ujue msiwa na ubinafsi muwe mnatoa hata solution ya haya mambo muoneshe mnaguswa basi, siyo kwa sababu njie mnauwezo wa kupata riziki zenu na suplus mnawasau walalahoi, japo ushauri tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…