Masamaki na wenzake 5 waliokuwa wameshitakiwa na serikalini kwa kosa la kuhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya sh. Bil 12.7 wameachiwa huru, Sasa Ina maana upotevu wa hizo pesa haujulikan au kuna nn ndani yake, basi kwa kutumia reference hiyo Ngeleja kaliwa, Chenge na Tibaijuka msirudishe pesa maana mkienda Mahakama hamtakuwa na hatia pesa zenu ni ndogo sana kuliko za Mzee masamaki. [emoji2] [emoji2] [emoji2]