Tanzania says will not revoke any oil and gas PSAs

Katika ripoti iliyotolewa na benki ya Uswisi ya UBS hivi karibuni, Watanzania wameficha Uswisi tu kiasi cha dola 2.9 billion, zaidi ya hata nchi zinazotushinda utajiri kama South Afrika na Botswana!
 
Zitto, ni yupi bora kati ya huyu Waziri na timu yake ambao wanaonyesha muelekeo wa MAMBO fulani kwa manufaa na Ngeleja aliyeondolewa?

Why are you so bitter about this guy? You seem to be very agitated by whatever comments that he makes, why?
Weka wazi, unayojua ili watu wayapime na kutoa comments zao. U seem to knowing something and holding that as a catch to the Minister. Usiwavunje nguvu wachapa kazi, iwapo una hoja weka mezani kuliko kudonoa donoa mara STAMICO, mara hiki.

Ulipokwenda kwenda mazishi ya Zenawi huko Ethiopia uliwahi kujiuliza mikataba hiyo mibovu katika Wizara ya Nishati na Madini ni Waziri gani alisaini? Ulipokuwa katika Tume ya Bomani, mikataba uliyopewa, sehemu ya signature mlionyeshwa? Ni nani alisaini? Au unaendeleza vita na mjumbe mwenzio wa kamati aliyekuumbua ambaye kwa sasa yuko Nishati?
 
Ha ha ha this must be a joke. Nitatoa wapi fedha za kuweka Uswiss? Sina bana. Kuna watu wenye chuki na mimi wameamua tu kuzusha suala hili ili kuziba hoja yangu ninayoipeleka Bungeni kuhusu mabilioni ya fedha zilizofichwa huko Uswiss. Nimefuatilia suala hili na mtafiti maarufu duniani kuhusu masuala haya ambaye alikuwa mbunge huko Afrika Kusini chini ya ANC. Mwezi Oktoba tunafanya mkutano wa pamoja kuieleza press suala hili kisha Bungeni napeleka hoja binafsi kutaka maazimio fulani fulani ya Bunge.

Nitasema tu. Suala hili sitaliacha. Nimelianza lazima nilimalize.

Zitto bora umetuambia binafsi nilikata tamaa sana baada ya kusoma kwamba na wewe umeficha pesa Uswisi na pia kwamba ulipewa pesa nyingi sana ulipoteuliwa kwenye ile kamati ya Bomani na kwamba eti ulionywa na Mbowe lakini hukusikia na mara ulikuta umewekewa pesa nyingi sana kwenye account yako na mafisadi so umetugeuka wanyonge na pia kwamba umenunua na Hammer! nimefarijika maana nimeanza kujua ukweli baada ya kusoma majibu kutoka yako!

Mafisadi wanafanya kampeni kubwa sana ya kutudanganya jitahidini kujibu kama hivi ili tuwe tunajua ukweli!
 
Back
Top Bottom