Na atoe ufafanuzi wa jinsi mapato yanavyopatikana na yanavyonufaisha wazawa. Amekumbilia kuandika utadhani ni juhudi zake mpaka kufanikisha hili.
Tatizo hawa CCM wanajua watanzania wa leo ni enzi za zidumu fursa za mwenyekiti kumbe hakuna, watanzania wa siku hizi hatudanganywi kizembe tunataka ufanisi uliotukuka kwenye kila wizara ikiwemo kila kiongozi kutenda kila linalotakiwa kuendana na mishahara wanayoipata kutokana na kodi zetu na wala sio kujineemesha wao na familia zao.