ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,116
Tutapata pesa za makinikia. Hao imf watuache kwani hatutaki mikopo yao ya kinyonyaji.Shirika la Fedha Ulimwenguni(IMF) limedai kwamba bajeti ya Tanzania ya Trilioni 31 ni "changa la macho" na kwamba Tanzania haina vyanzo vya fedha kukusanya mapato yanayofikia trilioni 31
Kwa maana hiyo shirika hilo linasema watanzania tumepewa matumaini yaliyopita kuliko cha uwezo wetu!
Binafsi ninaona kuna ukweli asilimia kubwa sana,ukiangalia bajeti ya mwaka 2016/2017 ilitekelezwa kwa asilimia 38,ikashindwa kutekelezwa kwa asilimia 62
Bajeti ya 2016/2017 ilikuwa trilioni 29, lakini pesa iliyotoka ni trilioni 15,bajeti ya mwaka huu 2017/2018 ni trilioni 31,sasa kama ya mwaka 2016/2017 ilitushinda kufikia hata nusu,tulikuwa na vigezo vipi vya kuipandisha bajeti yetu mpaka ifikie trilioni 31?View attachment 531778 View attachment 531779 View attachment 531780
Yaani tulishindwa hata kuikaribia nusu!
Sasa tumeongeza makadirio ya bajeti mpaka trilioni 31 wakati vyanzo vya mapato ni vilevile,na serikali inasema kumekuwa na wimbi la kufunga biashara,makampuni yanapunguza wafanyakazi
Mapato watayakusanya kutoka wapi!???
IMF ndio moja kati ya mashirika makubwa yanayoongoza na kutoa mwelekeo wa uchumi wa dunia,lakini wanakiri kwamba bajeti yetu ni "changa la macho"
Ujasikia Polepole na Ndugai wanadai eti watu wameelewa vibaya kwamba gesi kugunduliwa hapo hapo tutaona faida yake .wakati ukweli ni baada ya miaka 20 hivi baadae ndio faida yake ndio itaonekana .Hivi hela za Gas zinaenda wapi ?
Tafsiri wewe kupitia dictionary ya ccm utuletee wewe bila chumviAliyetafsiri hio habari amekoleza chumvi mnooo. Ukweli hauko hivyo hata kdg
Una akili sana we mjamaaWale wanao ufahamu utendaji kazi wa "Economic Hit Man" hawatoshangazwa na hili.
Chondechonde nawaomba tu wasije kufikia hatua yao ya pili ya assassination baada ya hii ya kumshawishi mkulu kwa rushwa kushindwa.
Umefika wakati tupeleke fikra zetu njee ya box mkuu. Hawa jamaa hawafai hata kwa kurumangia na wapo very tactical.Una akili sana we mjamaa
Feelings za kidem achana nazoNon of our business, hata mkicollect 100 trillion ni za kwenu, it has nothing to do with us
Wewe ndo uachane nazo coz sio dem, mimi ni African queen from heaven of the earth (TZ)Feelings za kidem achana nazo
Tumia kiswahili plizWewe ndo uachane nazo coz sio dem, mimi ni African queen from heaven of the earth (TZ)
Wakenya mmemaliza kupiga kura? Don wenu Jim anasemaje? Anakula 5% tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]Badilisha hapo jina 'Tanzania' halafu weka 'Kenya' ghafla utawaona akina Mwanzi1 kilam Toyota escudo game over hawatakawia, ila kwa sasa wanapita kimya.
Wakenya mmemaliza kupiga kura? Don wenu Jim anasemaje? Anakula 5% tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]
Imagine how corruption kills Kenya...that is just one individual....we know all...Ipo inakuja, tutapiga tu na kitaeleweka. Don wetu Jim na 5% yake sio issue kuwa kama kwenu dons wanakulaga 10% halafu nyie mnaishia kufuata makinikia wakati migodini jamaa wanabeba mzima mzima.
Imagine how corruption kills Kenya...that is just one individual....we know all...
For us we propel our boat slowly but surely....we Will reach the destination sooner than later
I see...tutachelewa sana kufika. You want a submarine...you can't buy yourself until so and so talk to the supplier? In Africa that is a recipe for disastersAre you talking about the same Tanzania we all know about or some nation in outer space.
Halafu middlemen in deals is not necessarily bad, this is a phenomenon even in most developed nations.