Tanzania receives R44 helicopter for counter-poaching duties

Tanzania receives R44 helicopter for counter-poaching duties

In return of what as nothing goes for nothing?

Howard Buffet ni Myahudi Tajiri sana na anasaidia kuliko maelezo ila ana masharti yake kuwa Misaada yake lazima itumike kama ilivyodhamiliwa... na si vinginevyo ikienda tofauti hamumuoni tena na ndio zake huwapa kidogo ikienda vizuri basi anamimina misaada zaidi...

Kuna Miaka fulani alikuwa anataka kusaidia nchi masikini za africa akijua ni masikini sana ila alipotuma wapelelezi wake wakamuambia tatizo ni serikali za kiafrica zinang'ang'ania madaraka na kusababisha umasikini kwa watu wake... akaona hata akitoa ni kazi bure akaenda Asia na sehemu zinginezo... Tatizo la Africa si masikini ila ni majizi tu yamejaa madarakani akiondoka jizi anaingia jambazi yaani hakuna unafuu...
 
Back
Top Bottom