Spika wa bunge atachaguliwa na wananchi na wakati wa uchaguzi atakuwa na makamu wake, na spika akifariki makamu watakaimu na ndani ya siku mia moja utafanyika uchaguzi wa kuchagua spika mwingine, spika na makamu wa spika ni mtu ambaye hana historia ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa