TANZANIA PROJECT 2035
VISION
- Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Afrika kufikia mwaka 2070 in term of GDP na PPP
- Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kufikia mwaka 2200 in term of GDP na PPP
MISSION
Nilitangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania 29/6/2024 kwa kipindi chote hicho nimepata feedback nyingi ila kikubwa kuna mambo mengi sana nimejifunza unajua unatakiwa uanze safari ndo update experience, ukosee ndo ujifunze