Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,125
- 6,141
TANZANIA PROJECT 2035
VISION
Nilitangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania 29/6/2024 kwa mara ya kwanza, kwa kipindi chote hicho nimepata feedback nyingi ila kikubwa kuna mambo mengi sana nimejifunza unatakiwa uanze safari ndo update experience, ukosee ndo ujifunze
Ķwanini sitagombea Urais mwaka 2025 na mwaka 2030 lazima nielezee ili kuondoa ile sintofahamu labda huyu anafuta umaarufu, labda huyu kachanganyikiwa natakiwa nionyeshe destination yangu ni lini, unapoanza safari yeyote lazima uelezee unapoishia
Mwaka huu mimi nina miaka 33, (2/dec/1991)-kwa hiyo mwaka 2035 ndo ntakua eligible kugombea urais
NICHAGULIWA MWAKA 2035 NA KUWA RAIS YAFUATAYO NI MAMBO NTAKAYOYAFANYA YAKO MENGI ILA HAYA MANNE NDO YA MUHIMU SANA
👇👇👇👇👇👇👇👇
A)-Mabadiliko ya Katiba na baadhi ya mapendekezo yanayotakiwa kuwepo kwenye katiba
Uwepo wa hizo smelter na refining hapo juu utavutia wawekezaji wengi sana wa viwanda vya secondary
C)-Space colonization
F)-Kujenga scheme za umwagiliaji kubwa na za kisasa
Kuzalisha megawatts 1,000,000+ za umeme
VISION
- Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Afrika kufikia mwaka 2070's in term of GDP na PPP
- Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kufikia mwaka 2100's in term of GDP na PPP
Nilitangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania 29/6/2024 kwa mara ya kwanza, kwa kipindi chote hicho nimepata feedback nyingi ila kikubwa kuna mambo mengi sana nimejifunza unatakiwa uanze safari ndo update experience, ukosee ndo ujifunze
Ķwanini sitagombea Urais mwaka 2025 na mwaka 2030 lazima nielezee ili kuondoa ile sintofahamu labda huyu anafuta umaarufu, labda huyu kachanganyikiwa natakiwa nionyeshe destination yangu ni lini, unapoanza safari yeyote lazima uelezee unapoishia
- Siko eligible kugombea nafasi ya urais sababu nimezaliwa 2 dec 1991, kwa hiyo sikidhi matakwa ya katiba ya Tanzania
- Mimi sijulikani (I am no body here in Tanzania) hasa kwenye mambo ya uongozi kwa hiyo ninakazi kubwa sana ya kufanya ili kuprove kwa watu kwamba nina kitu ambacho kitawasaidia na kuniamini kuwa Rais wa Tanzania
- Naamini character yangu kuanzia mwaka 2025 mpaka 2035 ndo itakayoamua either niaminiwe kuwa Rais wa Tanzania or nionekane mtu wa ajabu na hovyo
Mwaka huu mimi nina miaka 33, (2/dec/1991)-kwa hiyo mwaka 2035 ndo ntakua eligible kugombea urais
NICHAGULIWA MWAKA 2035 NA KUWA RAIS YAFUATAYO NI MAMBO NTAKAYOYAFANYA YAKO MENGI ILA HAYA MANNE NDO YA MUHIMU SANA
👇👇👇👇👇👇👇👇
A)-Mabadiliko ya Katiba na baadhi ya mapendekezo yanayotakiwa kuwepo kwenye katiba
- Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais bali na vyama vya siasa vitakaa na kuamua namna ya kumchagua msajili wa vyama vya siasa kazi ya Rais ni kumuapisha
- DPP kuchaguliwa na wananchi na hatikwi kuwa na historia ya kuwa affiliate na chama chochote na akimaliza mda wake hatakua eligible kugombea Urais wa Tanzania. Na pia kutaanzishwa shirika la upelelezi wa makosa ya jinai tofauti na jeshi la polisi na litakuwa chini ya DPP.
- Jaji mkuu kuchaguliwa na wananchi hatakiwi kuwa affliated na chama chochote-Majaji wa mahakama kuu kutochaguliwa na Rais bali na mchakato wa ndani wa mahakama kazi ya Rais ni kuwaapisha na akimaliza mda wake hatakua eligible kugombea Urais wa Tanzania
- Majaji wa mahakama kuu kutochaguliwa na Rais bali ni kupitia mchakato wa ndani wa mahakama
- Rais atateua mabalozi, mawaziri, mkuu wa majeshi (CDF), mkuu wa jeshi la polisi (IGP), mkuu wa usalama wa Taifa, na mabosi kwenye mashirika ya serikali
- Hakutakuwa na makamu wa Rais badala yake kutakuwa na waziri mkuu asiyekuwa na jimbo, na kama Rais akitokea bara basi waziri mkuu atatokea zanzibar)
- Mawaziri kutokua wabunge, wizara kuwa 18 (mawaziri wawili kutoka pemba na wawili kutoka unguja jumla wanne) na kutokuwa na naibu waziri, kutakuwa na waziri na katibu mkuu
- Deni la taifa kukaguliwa na CAG ili kujua namna lilivyotumika, baada ya kuisoma atamkabidhi Rais na Dpp
- Mtoto akizaliwa Tanzania na wazazi ambao wanaishi kimagendo hatapata uraia wa Tanzania wa kuzaliwa
- Mkuu wa takukuru kuchaguliwa na wananchi na hatakiwi kuwa affiliate na chama chochote, na akimaliza mda wake hatakua eligible kugombea Urais wa Tanzania
- Mkaguzi wa miradi ya serikali huyu atakua anachagulia na wananchi na atakua ni engeineer na atakagua miradi yote iliyofanywa na kutathmini kama inaendana na thamani ya fedha iliyotengwa na inaubora uliokusudiwa na hatakuwa eligible kugombea Urais akimaliza mda wake
- Mbunge ni lazima aishi kwenye jimbo lake sio haki hata kidogo na ni ukatili mkubwa sana mbunge tunakuchagua alafu unaenda kuishi dar jimboni unakuja kama mtaliiMawaziri kutokuwa wabunge sababu mawaziri wengi wanapwaya kwenye majimbo yao
- Hakutakuwa na wabunge wa kuteuliwa na Rais na viti maalumu, wabunge wote watachaguliwa na wananchi
- Nafasi ya Mkurugenzi wa wilaya itafutwa na majukumu yake atapewa mbunge
- Waziri mkuu, DPP, jaji mkuu, mkuu wa TAKUKURU, mkaguzi wa miradi ya serikali hawa hawatakuwa eligible kugombea nafasi ya Urais
- Rais akifia madarakani kutaitishwa snap election ya kumchagua Rais mpya ndani ya miezi sita-bunge litamchagua mtu wa kukaimu nafasi ya Urais mpaka pale atakapochaguliwa-aliyekaimu hatarusiwa kugombea nafasi ya urais-na kabla ya mwaka mmoja wa uchaguzi basi aliyechaguliwa na bunge atamalizia mpaka uchaguzi mwigine na hatakuwa eligible kugombea
- Uchaguzi mkuu wa viongozi wa kisiasa utafanyika kila baada ya miaka 5 na inayogawanyika na tano ukitoa snap election
- Rais aliyeshindwa uchaguzi anaweza akagombea tena uchaguzi mwingine
- Rais anaweza shtakiwa, waziri mkuu anaweza shtakiwa
- Uchaguzi wa viongozi ambao sio wa kisiasa utafanyika miaka miwili baada ya uchaguzi wa viongozi wa kisiasa
- Mshindi wa pili kwenye uchaguzi wa viongozi wa kisiasa wa Rais basi atakua kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni
- Baada ya uchaguzi kutaka na mda wa miezi miwili ya kukabidhi ofisi kwa serikali inayoondoka madarakani-Rais mpya ataapishwa baada ya miezi miwili kupita
- Wakuu wa mikoa kuchaguliwa na wananchi
- Spika wa bunge atachaguliwa na wananchi na wakati wa uchaguzi atakuwa na makamu wake, na spika akifariki makamu watakaimu na ndani ya siku mia moja utafanyika uchaguzi wa kuchagua spika mwingine, spika na makamu wa spika ni mtu ambaye hana historia ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa
- Mchakato ndani ya vyama waamuzi wa mwisho ni wanachama wagombea hata wawe 100 wote watapigiwa kura na wanachama wa chama husika ambao ni hai kwenye uchaguzi wa ndani
- Mchakato wa kumpata Rais wa ndani utafanyika kwa kupigiwa kura za wanachama wa chama husika kwenye kila mkoa na sio kuteuliwa na kikundi cha watu wachache
- Kutakuwa na chaguzi mbili;- ya Urais, wabunge na madiwani na utafanyika kwenye miaka inayogawanyika na 5, baada ya miaka 2 kupita uchaguzi mkuu kutafanyika uchaguzi wa wakuu wa mikoa, DPP, JAJI MKUU, MKUU WA TAKUKURU, SPIKA WA BUNGE, MKAGUZI WA UBORA WA MIRADI YA SERIKALI, na wenyeviti wa mtaa
- Mgombea anayeshika nafasi ya pili kwenye ucbaguzi wa Rais basi atakua ndo kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni
- Vyombo vya habari kuwa huru hata kuikosoa serikali
- Vyuo vikuu kurusiwa kufanya midahalo na kuikosoa serikali pale wanapoona imekosea
- Kubadilisha jina la fedha ya Tanzania kutoka shilingi na kuwa Tanzanite.
- Usalama wa Taifa wa sasa utaendelea kulinda viongozi wote wa Tanzania, kutaanzishwa Tanzania Economic Intelligence kulinda viwanda, na rasilimali za Tanzania.
- Mikataba yote iwe wazi hasa mapato yanayopatikana, ajira itakazotoa na kama kuna ulazima wa kuwapa foreigner na ijadiliwe bungeni na ni kosa la jinai kiongozi kusign mkataba wa siri- akifanya hivyo akimaliza mda wake atashtakiwa
- Ndoa ni kati ya mume na mke na sio vinginevyo
- Wagombea nafasi zote za uongozi kuanzia uenyekiti ni sharti wawe na elimu ya degree na kuendelea
- Ni lazima kila anayejenga kufuata mipango miji, na nikosa kujenga mahali bila kufuata masterplan
- Uraia wa nchi mbili utarusiwa-ila ambaye ana-uraia wa nchi mbili hatarusiwa kugombea nafasi yeyote ya kuchaguliwa na wananchi, na hatarusiwa kumiliki zaidi ya ekari moja ndani ya ardhi ya Tanzania
- Kutakua na uhuru wa kuongea na ni kosa la jinai kwa mtu yeyote kuzuia uhuru wa maoni
- Rais na serikali iliyoko madarakani haina mamlaka ya kuvunja bunge
- Bunge hata likiwa na wabunge wapinzani wengi kuliko wabunge wa chama tawala, wabunge wa upinzani hawana mamlaka ya kumtoa Rais aliyeko madarakani
- Kama bunge likiwa na wabunge wa upinzani wengi zaidi ya chama tawala serikali iliyoko madarakani itahitaji kura za asilimia 25 wa wabunge kupitisha budget tu na sio mambo mengine
- Kazi za serikali ikiwemo safari za viongozi hazitakiwi kugharamiwa na watu binafsi bali na kodi tu za wananchi kama hili likifanyika basi Rais, mkuu wa mkoa, waziri, mbunge aliyefanya hivyo atakuwa na kesi ya kujibu ya kutumia madaraka vibaya, anarusiwa kufanya hivyo kwa safari zake binafsi ambazo sio za serikali
- Kampuni ya Rais, mbunge, waziri, mkuu wa mkoa, na wake zao haitakiwi kupewa tender za serikali
- Mradi wowote ukifanywa chini ya kiwango, usipomaliziwa kwa mda, kampuni iliyopewa itashtakiwa kwa kosa la jinai
- Serikali zitakuwa mbili- serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na serikali ya mapinduzi ya zanzibar
- Ndugu, na watoto wa serikali kutokufanya majukumu ya serikali
- Petrochemical plant itakuwa powered na gesi asilia
- Crude oil refinery itakuwa powered na gesi asilia
- Natural gas refinery itakuwa powered na gesi asilia
- Glass smelter (include fiberglass) itakuwa powered na gesi asilia
- Steel smelter itakuwa powered na makaa ya mawe
- Nickel smelter itakuwa powered na makaa ya mawe
- Copper smelter itakuwa powered na gesi asilia
- Nobium powder itakuwa powered na umeme unaozalishwa na gesi asilia
- PCB fabrication itakuwa powered na umeme unaozalishwa na gesi asilia
- Aluminium smelter itakuwa powered na umeme unaozalishwa na gesi asilia
- Silicon wafer and semiconductor itakuwa powered na umeme unaozalishwa na gesi asilia
- Spinning powered itakuwa powered na umeme unaozalishwa na gesi asilia
- Large estate of natural rubber farm hii inatumika kuzalishia matairi ya gari, soli za viatu, condom na gloves za hospitalini
- Rear earth refining itakuwa powered na umeme unaozalishwa na gesi asilia
Uwepo wa hizo smelter na refining hapo juu utavutia wawekezaji wengi sana wa viwanda vya secondary
C)-Space colonization
- Develop artificial ozone layer of different planet
- Activate fusion activities of inactive star
- Exploit natural satellite waves so as it can be used to facilitate communication
- Ifikapo mwaka 2050 lengo ni kuhakikisha Tanzania inakuwa na watu million 100
- Ifikapo mwaka 2100 lengo ni Tanzania kuwa na watu million 170+
- Kuwa na unique urban planning ambayo haitapatikana sehemu yeyote ile duniani
- Kuwa na unique architecture ambayo haitapatikana sehemu yeyote ile duniani
- Sehemu za watembea kwa miguu, na parking kupigwa paving naamini baada ya miaka 20 mpaka 30 hakutakuwa na vumbi maeneo yote ya mijini-kama wengine wameweza hata sisi tunaweza
F)-Kujenga scheme za umwagiliaji kubwa na za kisasa
- Ngano
- Alizeti & mchikichi
- Mpunga
- Natural Rubber
- Pamba
- Mahindi
Kuzalisha megawatts 1,000,000+ za umeme
- Unit moja ya umeme kuuziwa wananchi Tanzanite 20 unit 1
- Unit moja ya umeme kwa wenye biashara maduka Tanzanite 15 Unit 1
- Unit moja ya umeme kwa wenye viwanda Tanzanite 10 Unit 1
- VAT kuwa 4%
- Individual Income tax 6%
- Corporate tax 8%
- Property tax 5%
- Capital gain tax 5%
- Hesabu kufundishwa kwa kingereza
- Science kufundishwa kwa kingereza
- Computer kufundishwa kwa kingereza
- Na kingereza kama somo
- Mtihani kwenye shule za msingi za serikali na private utakuwa mmoja kama ilivyo kwa form four, ila hautakuwa sawa na International school
- Programming language
- Graphics design
- Udereva wa magari yote (madogo, makubwa na scania na yale yanayotumika viwanda kama forklift, na kwenye sehemu za ujenzi kama grader)
- Office (advanced excel, word, & PowerPoint)
- Zifahamu njia zitumikazo kutengeneza hizi dawa zinazouzwa pharmacy
- Kupredict protein mutation
- Amino acid sequence rules
- Kurudisha extinction animals