Through the investigation, it was also learned that Solomon Bandiho, 49, is a Catholic priest at a local parish in Mesa. He has been the administrator at Holy Cross Parish since July and also assisted At St. Helen Parish in Glendale. Mesa police say Bandiho responded to an ad on the internet. He unknowingly texted an undercover detective and arranged to meet at a Mesa hotel to have sex for $60. Police say when they approached Bandiho, he became aggressive so they used a stun gun on him.
Kwa yule mwl. Wa madrasa wa Zanzibar (thrade iliyoletwa hapa jana) tuliambiwa suna dini yake inaruhusu!
Je? Na hii nayo suna ? Au ina jina lake mahsusi ?
Hapa hakuna jina twaweza kutoa kwani Dini yetu na utaratibu wake haviruhusu hawa watu kukaa uchi mbele, nyuma hata upandeni mwa mwanamke wakiwa uchi. Sasa yeye alikuwa anaenda kuichapam kabisa.
Kwa yule mwl. Wa madrasa wa Zanzibar (thrade iliyoletwa hapa jana) tuliambiwa suna dini yake inaruhusu!
Je? Na hii nayo suna ? Au ina jina lake mahsusi ?
Walioruhusu mapadre wao kuoa sasa wana maaskofu mashoga na wanaona "ni sawa kwa shetani kukaa madhabauni na kufundisha kondoo". Uzinzi/uasherati ni tabia ya mtu, na sio dini wala kabila wala kazi