Hawa watu waruhusiwe kuoa sasa.
Ni wangapi kwani? Si mmja au una makengeza?
Unajidai husikii wanachofanya? Mara padri kabaka mke wa mtu, kalawiti nk.
Mbona mtaani kuna watu wameoa na bado wanafanya hayo!Unajidai husikii wanachofanya? Mara padri kabaka mke wa mtu, kalawiti nk.
Hawa watu waruhusiwe kuoa sasa.
Mbona mtaani kuna watu wameoa na bado wanafanya hayo!
Tunaongelea huyu wa huko US. Sasa kosa la huyo mmoja ndo limekuwa sababu ya kuconlude hivyo kwa wote!! Sawa, ngoja nikubaliane na maoni yako lakini niambie, mbona nyie mnaoruhusiwa kuoa bado mmeshindwa kuwa waaminifu kwa wenzi wenu na mna michepukp kibao nje? Na nyie tusemeje?
Hapa hatuzungumzii uaminifu, tunazungumzia hawa mapadri wanaokula viapo ambavyo hawawezi kuvitekeleza
Unaongea nini sasa. Mbona unajichanganya? Nini maana ya uaminifu? Wewe mwenye ndoa ukidunga mchepuko umekosa uaminifu kwa ndoa yako. Na yeye mwenye kiapo cha useja (kutooa) anakosa uaminifu kwa kiapo chake. Nani mwenye nafuu hapo? Ni sawa na serikali inapomnyonga mtu ati kwa sababu aliua mtu fulani. Wote ni wauaji tu, hakuna mwenye nafuu hapo!
Anakula vikondoo vyake