Tanzania posts corporation

Swax Man

New Member
Joined
Jun 3, 2020
Posts
4
Reaction score
2
Wadau nimeitwa kwenye interview katika position ya Postal Officer II, tusaidiane wapendwa possible questions za written, asanteni
 
Nilifanikiwa kufika mpaka tatu bora...namkumbuka yule HR wa kipindi hiko akaniomba rushwa nikamtosa


Interview ilianzia jengo la elimu ya watu wazima, watu kama 2000, then tukapiga pepa wakasema wataita watu 10 bora kupitia simu.

Kweli jioni yake nikaona namba ya 022...inaingia wakasema umechaguliwa kwenye oral kesho pale posta makao makuu opposite mambo ya ndani.


Tulikua 10 , wakahitaji watatu, ..nilikua wa mwisho (namba 10) ...majibu yakatoka...HR akaniita pale kwenye ofisi yake anataka rushwa ya laki tatu otherwise atampa mtu mwingine nafasi.

Nikamwambia rushwa sitoi sababu sina hela.

Kweli akanipiga chini..nikajionea poa tu...nikaenda chuoni kusoma bachelor ya law ili nije kuwakomesha watu kama hawa.

Baadae niliambiwa yule HR alihamishwa kituo..akashushwa cheo.

Alikua mweusi, kimo cha kawaida..sio mrefu sana..alikua anapenda vaa miwani...na suti all the times.


Kama posta wamehamisha mchakato wao utumishi safi sana.


Naficha mwaka sababu walioingia kazini mwaka wangu bado wapo kwenye ajira..wasije wakasitishiwa ajira zao.
 
Jamaa anataka maswali ya written interview sio story.
 
We jamaa si umesema umeshawahi fanya interview TPC
Hadi tatu bora ulifika!!! Sasa kwanini usitoe msaada hata overview ili mwenzako ajiandae vizuri.
Mnapenda slope nenda kaonyeshe uwezo wako sio watu wakuibie ronja
 
We jamaa si umesema umeshawahi fanya interview TPC
Hadi tatu bora ulifika!!! Sasa kwanini usitoe msaada hata overview ili mwenzako ajiandae vizuri.
Wewe si ndio nimeona kwenye Uzi mmoja unauliza Kama mtu anataka kukutapeli kwa kua kakwambia umtumie hela


Ni kweli mtatapeliwa Sana Kama mnapenda slope ukitaka usitapeliwe nenda na uwezo wako achana na kutafuta mtu wa kukubeba

Onyesha uwezo wako harisi ili usije ukatinyanga kazi za watu ACHANA NA SLOPE
 
Hii sio sifa ya mwanaume mambo unayoleta ni ya kike, hamna mtu alie lazimishwa kutoa msaada kama hautaki bora ukaushe au kama haujui kausha sio kuanza kuringisha idea.
Alafu mtu akipost hoja humu JF haimaanishi ni kilaza...posts zingine ni useful for future wanaweza wakaja wenye uhitaji wakakuta qoute yoyote zikawasaidia. So message ile niliiweka makusudi, acha ushamba.
 
Ulikua umeisha ingia kingi Kama raia wasinge kutoa ulishaning'inia
 
Wadau nimeitwa kwenye interview katika position ya Postal Officer II, tusaidiane wapendwa possible questions za written, asanteni
elewa Kuhusu EMS, priority mail, Economic mail, posta mlangoni,other services offered by posta ,out of mails, gonga research Design kalale
 
Hio ilikuwa part ya usaili kukupima, usingesema sina pesa ungesema pesa ninayo lakini siwez kutoa rushwa maana ni adui wa haki na maendeleo. Sasa hv ungekuwa unapiga kaz pale kaka.
Oral interview ni very technical.
 
Hujaelewa....!

Interview zote written na oral nilipata.

Na akaniambia ajira umepata ila kabla hujasaini mkataba nipe kiasi hiki.

Hio ilikuwa part ya usaili kukupima, usingesema sina pesa ungesema pesa ninayo lakini siwez kutoa rushwa maana ni adui wa haki na maendeleo. Sasa hv ungekuwa unapiga kaz pale kaka.
Oral interview ni very technical.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…