Evan misheboy
Member
- Aug 4, 2013
- 13
- 0
Vipi hii bank ya serikali malipo yao au ndo kama, Finca, bayport etc..!!
Gud...1m and abv
Hivo vilaki 6 unavyovidharau wengine hawana au hatuna...
Ungejua mishahara ya finca ilivyo juu ukilinganisha na bank zingine wala hata kwenye orodha apo usingeifananisha na bayport
mkuu finca wana bei gani kwa loan officer na saving representative? nipe hata kadirio tu co lazma figure ya ukweli
Hahaha gross 500k,labda kama iwe imebadilika!!
Loan officer kwenye probation unapata Gross ya 550 ukimaliza probation unapata gross ya 650, baada ya mwaka unapewa gross ya 750,baada ya miaka miwili utapewa 800 mpaka 880 iyo itategemea na perfomance, Hivyo ni viwango vipya vya mishahara, Iyo ni source kutoka kwa mdau wa paleHahaha gross 500k,labda kama iwe imebadilika!!
Saving repr. Gross ya 700, Loan officer kwenye probation gross ya 550,baada ya probation 650 mpaka gross ya 880 itategemea na muda uliokaa kazini na performance yakomkuu finca wana bei gani kwa loan officer na saving representative? nipe hata kadirio tu co lazma figure ya ukweli
Saving repr. Gross ya 700, Loan officer kwenye probation gross ya 550,baada ya probation 650 mpaka gross ya 880 itategemea na muda uliokaa kazini na performance yako
Kweli ma benki ni majangaaa...ofisi nzuri tai kubwa mfukoni chengaaaa....
Mimi ni Afisa mikopo(Individual loan) hapo FINCA,gross yangu ni 800,000/= ukiachana na Bonus na vinginevyo,na nimemaliza chuo mwaka jana,so ktk kufananisha viwango vya mishahara huwezi kuiringanisha FINCA na benki uchwara zinazotoa 400,000/= mpaka 500,000/= kwa mwezi,so POSTAL BANK,BAYPORT,NMB,ETC sio levo za FINCA ya leo...........!
Ungejua mishahara ya finca ilivyo juu ukilinganisha na bank zingine wala hata kwenye orodha apo usingeifananisha na bayport
Graduate wa bongo na entitlement mentality.Vipi hii bank ya serikali malipo yao au ndo kama, Finca, bayport etc..!!