Jimjuls
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 486
- 168
Habari,
Ninajaribu kutuma application yangu kwenda recruitment@postalbank.co.tz na inarudi.( Undelivered and returned to sender). Inasema File is too large wakati ni 2.8 MB. Naomba kujua kama kuna mtu mwingine anapata tatizo kama ninalopata mimi.:help: Hii ndiyo link ya kazi walizotangaza kutoka kwenye website.
Job Opportunities